INAUZWA Ninauza Back up Inverter ya SunNova

INAUZWA Ninauza Back up Inverter ya SunNova

David2022

Member
Joined
Dec 19, 2022
Posts
6
Reaction score
1
SunNova Solar Inverter Pure Sine Wave (Brand New/Haijawahi kutumika)
Falcon Eco 2000VA/24V
Power - 1,300W
Weight 15.5kg
Ninapatikana Mbezi Louis (Mageti)
Kama upo interested nicheki 0629 019820

IMG_20221220_082504_792.jpg
IMG_20221220_082532_318.jpg
IMG_20221220_082646_697.jpg
IMG_20221220_082752_008.jpg
IMG_20221220_082808_986.jpg
IMG_20221220_082837_361.jpg
 
Kazi yake nini hiki kitu mkuu?
hii ngoma dizaini kama ina kazi mbili

1. ukiunga battery ya solar, ngoma inapiga kazi kama Inveta

2. ukiunga Tanesco, alaf ukaunga na battery , ngoma inapiga kazi kama UPS
 
Dronedrake kaelezea vizuri hapo.... Kwa kifupi inatumika kutunza umeme (kama power bank). Hivyo umeme wa Tanesco ukikatika, kwako kunakuwa poa tu. Ni kama kuwa na jenereta bila makelele... Na hii niliyo nayo ina uwezo wa kutunza umeme wa masaa 60...
 
Unahitaji kuwa na battery ambayo itachajiwa wakati umeme wa Tanesco upo.
Umeme ukikatika battery itasukuma inverter itowe ac voltage. Muda wa matumizi hutegemea ukubwa wa battery na inabeba mzigo (load) ya ukubwa gani.
 
Back
Top Bottom