Ninauza Beach Plot/Shamba langu lililopakana na Bahari Kigamboni(Dalali Hatakiwi)

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
WanaJF niko Serious ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2 na Robo lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na niko tayari kwenda popote Mnunuzi atakapohitaji kumthibitishia,Shamba lenyewe ni Beach plot na lipo karibu sana na bahari kwa umbali usiozidi nusu (0.5) km!.Shamba halijapimwa bado ila lina Hati ya kawaida ya manunuzi ya serikali ambayo yalisimamiwa na Serikali za Mtaa husika.Ila majirani zangu wanaonizunguka ambao ni Wahindi wote wamepima maeneo yao na wamezungushia uzio hivyo kuleta urahisi wa kupima eneo hilo.Bei ya mwisho ni shilingi Milioni kumi na nane tu (18),Tafadhali sihitaji Dalali!Kwa maelezo zaidi nipigie kwa namba yangu 0715979498 kwa Malengo ya Biashara tu kwa wenye nia au wanaohitaji kupaona au kujiridhisha.(NASISITIZA HAKUNA UDALALI WALA DALALI HATAKIWI)

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu, hebu nieleweshe vizuri. Kuna shamba mbele yako kabla ya bahari au la? 0.5km mpaka kufika baharini ni kiwanja hiko?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Yeah kuna kashamba hapo ambako kamegongana na Bahari af ndo la kwangu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
WanaJF niko Serious ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2 na Robo lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na niko tayari kwenda popote Mnunuzi atakapohitaji kumthibitishia,Shamba lenyewe ni Beach plot na lipo karibu sana na bahari kwa umbali usiozidi nusu (0.5) km!.Shamba halijapimwa bado ila lina Hati ya kawaida ya manunuzi ya serikali ambayo yalisimamiwa na Serikali za Mtaa husika.Ila majirani zangu wanaonizunguka ambao ni Wahindi wote wamepima maeneo yao na wamezungushia uzio hivyo kuleta urahisi wa kupima eneo hilo.Bei ya mwisho ni shilingi Milioni kumi na nane tu (18),Tafadhali sihitaji Dalali!Kwa maelezo zaidi nipigie kwa namba yangu 0715979498 kwa Malengo ya Biashara tu kwa wenye nia au wanaohitaji kupaona au kujiridhisha.(NASISITIZA HAKUNA UDALALI WALA DALALI HATAKIWI)

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Buyuni iko wapi?
Kilometers ngapi from Ferry?
 
Buyuni ipo ndani ya temeke, ni km karibia 40 kutoka ferry
 
WanaJF niko Serious ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2 na Robo lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na niko tayari kwenda popote Mnunuzi atakapohitaji kumthibitishia,Shamba lenyewe ni Beach plot na lipo karibu sana na bahari kwa umbali usiozidi nusu (0.5) km!.Shamba halijapimwa bado ila lina Hati ya kawaida ya manunuzi ya serikali ambayo yalisimamiwa na Serikali za Mtaa husika.Ila majirani zangu wanaonizunguka ambao ni Wahindi wote wamepima maeneo yao na wamezungushia uzio hivyo kuleta urahisi wa kupima eneo hilo.Bei ya mwisho ni shilingi Milioni kumi na nane tu (18),Tafadhali sihitaji Dalali!Kwa maelezo zaidi nipigie kwa namba yangu 0715979498 kwa Malengo ya Biashara tu kwa wenye nia au wanaohitaji kupaona au kujiridhisha.(NASISITIZA HAKUNA UDALALI WALA DALALI HATAKIWI)

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Bado kipo?
 
Bado lipo mkuu?
 
Back
Top Bottom