Thaconfession
JF-Expert Member
- Jun 16, 2021
- 301
- 590
Sio lazima u-comment mkuu, watu wengine mna roho za kishirikina ila hamjijui tu!Unaonaje ungeenda kuwauzia wale wa chuma chakavu! Unafikiria ni vizuri kuwauzia wezako matatizo na plesha! Habu kuweni na huruma na wataanzania.
Ahsante, karibu pia kwa biasharaaisee hongera bana naona unaenda Denmark
Nunua chuma icho mkuu ,aisee hongera bana naona unaenda Denmark
Watu wengi humu wanajikweza kuliko uwezo wao, kila mtu anajifanya kumiliki gari nzito nzito, VX, V8, BENZ VANGUARD N.K Lakini ktk uhalisia wengi wao wanagombania daladala mitaani.Kwa wale mnaodharau passo poleni sana. Ninayo yangu ni DRG nikitokea kwenye ingine ambayo ilikuwa DHF hizi gari nimezipenda sababu ulaji wwke wa mafuta...
mimi nilikua na shida na hiki chuma kwajili ya kazi malumuNunua chuma icho mkuu ,
Unakuta mtu ana harrier new model, vanguard ila ana print sababu hawezi kulitumia sana linalamba wese. Mimi hata mabasi nishaacha kupanda, ikitokea huwa najiona nimeteseka sanaWatu wengi humu wanajikweza kuliko uwezo wao, kila mtu anajifanya kumiliki gari nzito nzito, VX, V8, BENZ VANGUARD N.K Lakini ktk uhalisia wengi wao wanagombania daladala mitaani...
Passo sio gari mbaya, kwa pilika za utafutaji mjini ni very perfect!
Oil zake maalum ni zipi hizo mkuu,naona ni knowledge mpya hiiHizi gari zina oil yake zina bei mbaya ukiweza kuilisha utaishi nayo vizuri tu
Hii usithubutu kufanya kwa vijana wa Tanzania, ukiwepo tu wanasumbua (Nina uzoefu mzuri kwenye hili) kwa hiyo kumuachia mtu gari bila uaimamizi wowote ni Sawa na kuamua kuitupa kabisa!Sorry kama nitakua tofauti na wewe,, kama unavyosema Uba na Bolt inalipa kwanini badala ya kuiuza utafute kijana umpe mkataba kwanza hii itakupa zaidi ya m8 ndani ya 2yrs pekee badala ya hiyo m4 na labda ukaambulia m3 tu
Evidence ya mapato ya mwezi August hiyo hapo...Sorry kama nitakua tofauti na wewe,, kama unavyosema Uba na Bolt inalipa kwanini badala ya kuiuza utafute kijana umpe mkataba kwanza hii itakupa zaidi ya m8 ndani ya 2yrs pekee badala ya hiyo m4 na labda ukaambulia m3 tu
Kama hii ni mwezi mmoja, I wish ningebaki tu hapa Tz nitengeneze pesa...ila ndiyo hivyo tena, tumefundishwa kumshika sana elimu, tuaimwache aende zakeEvidence ya mapato ya mwezi August hiyo hapo...View attachment 2765343
Hahahaaaa... Haya bhana memba wa Jei EfPasso ni jamii ya TOYO
aisee hongera bana naona unaenda Denmark
Passo ni jamii ya TOYO