Car4Sale Ninauza gari yangu PASSO namba DPD

Car4Sale Ninauza gari yangu PASSO namba DPD

Hii usithubutu kufanya kwa vijana wa Tanzania, ukiwepo tu wanasumbua (Nina uzoefu mzuri kwenye hili) kwa hiyo kumuachia mtu gari bila uaimamizi wowote ni Sawa na kuamua kuitupa kabisa!

Nilifanya mwenyewe kwa hyo miezi mitatu, mwezi July nilipata 1,270,000/= mwezi August nimepata 1,407,000/= na September (mpaka jana) nimepata 1,075,000/=
Safi Sana mkuu
 
Sijasema neno.
images (80).jpeg
 
Umesahau GTR 5.0 L
Watu wengi humu wanajikweza kuliko uwezo wao, kila mtu anajifanya kumiliki gari nzito nzito, VX, V8, BENZ VANGUARD N.K Lakini ktk uhalisia wengi wao wanagombania daladala mitaani.

Passo sio gari mbaya, kwa pilika za utafutaji mjini
 
Mkuu nilimaanisha mkataba wa kukuletea hesabu kwa kila wiki kiwango fulani mfano laki moja kila wiki kwa miaka miwili ni wiki 100 (100,000 x 100 = 10,000,000) baada ya hapo gari inakua yake mazima,, ndivyo nilivyomaanisha,, hapo lazima atailea kama yai
Kiongozi ucje jaribu kwa vijana watanganyika hilo wazo lako. Bora ufanye ww mwenyewe.ukishindwa uza gari au tembelea n familia TU. Kwa vijana watanganyika ni ovyo tena narudia ni ovyo kwamwe hawawezi.
 
Back
Top Bottom