Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Mi yangu huwa naweka oil flan hivi ya kijan lita5 inauzwa 160,000/=Oil zake maalum ni zipi hizo mkuu,naona ni knowledge mpya hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi yangu huwa naweka oil flan hivi ya kijan lita5 inauzwa 160,000/=Oil zake maalum ni zipi hizo mkuu,naona ni knowledge mpya hii
Chuma kimetulia hatarimimi nilikua na shida na hiki chuma kwajili ya kazi malumu View attachment 2765314
Safi Sana mkuuHii usithubutu kufanya kwa vijana wa Tanzania, ukiwepo tu wanasumbua (Nina uzoefu mzuri kwenye hili) kwa hiyo kumuachia mtu gari bila uaimamizi wowote ni Sawa na kuamua kuitupa kabisa!
Nilifanya mwenyewe kwa hyo miezi mitatu, mwezi July nilipata 1,270,000/= mwezi August nimepata 1,407,000/= na September (mpaka jana) nimepata 1,075,000/=
Watu wengi humu wanajikweza kuliko uwezo wao, kila mtu anajifanya kumiliki gari nzito nzito, VX, V8, BENZ VANGUARD N.K Lakini ktk uhalisia wengi wao wanagombania daladala mitaani.
Passo sio gari mbaya, kwa pilika za utafutaji mjini
Kiongozi ucje jaribu kwa vijana watanganyika hilo wazo lako. Bora ufanye ww mwenyewe.ukishindwa uza gari au tembelea n familia TU. Kwa vijana watanganyika ni ovyo tena narudia ni ovyo kwamwe hawawezi.Mkuu nilimaanisha mkataba wa kukuletea hesabu kwa kila wiki kiwango fulani mfano laki moja kila wiki kwa miaka miwili ni wiki 100 (100,000 x 100 = 10,000,000) baada ya hapo gari inakua yake mazima,, ndivyo nilivyomaanisha,, hapo lazima atailea kama yai