Car4Sale Ninauza gari yangu PASSO namba DPD

Hehee.. mil 6
Nimekaa palee
 
Piga hesabu kaka
Commission
Mafuta
Service
Maintenance

Hiyo sio hela uliyopaya. Hiyo gross
 
Piga hesabu kaka
Commission
Mafuta
Service
Maintenance

Hiyo sio hela uliyopaya. Hiyo gross
Ni kweli, haiwezi kuwa kamili, lakini mafuta kwa haka kagari ni raha kwa kweli, kila km 1 inatumia sh.195, nimeitumia averagely sh.200,000/=
Commission ya bolt ilikuwa 194,000/=

So, Kuna ka 700,000 hapo kametulia hivi...
 
Dooh sema wabongo tuna dharau sana, yani maisha yetu wengi tunajijua ni ya kuungaunga na wengine hatumiliki hata baiskeli ila tuko humu tunaponda vya wengine, kazi kwelikweli
Ukweli lazima usemwe piston 3 hiyo ni toyo ilitochangamka
 
Watu wengi humu wanajikweza kuliko uwezo wao, kila mtu anajifanya kumiliki gari nzito nzito, VX, V8, BENZ VANGUARD N.K Lakini ktk uhalisia wengi wao wanagombania daladala mitaani.

Passo sio gari mbaya, kwa pilika za utafutaji mjini ni very perfect!
mkuu, tatizo nawe umejieleza mno. hadi kutia mashaka, kwa mfano mambo ya Denmark yalikuwa hayahusiki hata kidogo!


for sure
 
Mkuu nilimaanisha mkataba wa kukuletea hesabu kwa kila wiki kiwango fulani mfano laki moja kila wiki kwa miaka miwili ni wiki 100 (100,000 x 100 = 10,000,000) baada ya hapo gari inakua yake mazima,, ndivyo nilivyomaanisha,, hapo lazima atailea kama yai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…