Plot4Sale Ninauza Kiwanja Mbezi

Plot4Sale Ninauza Kiwanja Mbezi

Ona Sasa

Member
Joined
Jul 2, 2009
Posts
65
Reaction score
11
Kiwanja kipo Mbezi Malamba mawili, njia ya kwenda kinyerezi.
Ukubwa wa 520 sqm
Bei ni 12,000,000
Malipo ni cash
Umeme na barabara ni hapo hapo
Kinafaa kwa matumizi ya makazi na biashara kwani kiko kwenye center nzuri sana
Call me 0685 810 420 ama WhatsApp 0685 810 420
 
Back
Top Bottom