Car4Sale Ninauza Nissan kwa Tsh Milioni 2

Car4Sale Ninauza Nissan kwa Tsh Milioni 2

mercphason

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
60
Reaction score
41
Naiuza hii nissan yangu haina shida yoyote ila imepaki muda mrefu sababu nipo mkoani kwa muda sasa, hapo inawaka na kutembea bila shaka 2 M tu naitupa.

0787037744.

IMG-20230504-WA0301.jpg

Ni ngumu kumuaminisha mtu kuwa hiyo gari inatembea hapo ilipo kutokana na mazingira na hali iliyo nayo.

Kwenye biashara huwa wanasema 'retail is detail". Ipe thamani biashara yako kwa kuzingatia vitu vidogo vidogo tu ambavyo vinaweza kubadilisha hata mtazamo wa mteja.

Kwa picha hiyo, jiiandae na wajuaji wa JF wanaomiliki ma Range ya nadharia huku wakiwa hawana hata mkokoteni kuwa hilo ni scrapper na kupewa offer za laki 2.
 
Ni ngumu kumuaminisha mtu kuwa hiyo gari inatembea hapo ilipo kutokana na mazingira na hali iliyo nayo.

Kwenye biashara huwa wanasema 'retail is detail". Ipe thamani biashara yako kwa kuzingatia vitu vidogo vidogo tu ambavyo vinaweza kubadilisha hata mtazamo wa mteja.

Kwa picha hiyo, jiiandae na wajuaji wa JF wanaomiliki ma Range ya nadharia huku wakiwa hawana hata mkokoteni kuwa hilo ni scrapper na kupewa offer za iaki 2.
Nimeagiza litolewe lioshwe lipigwe picha vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom