Car4Sale Ninauza Nissan kwa Tsh Milioni 2

Car4Sale Ninauza Nissan kwa Tsh Milioni 2

Nimeipenda sema timing,location na bei yako inanipa ugumu maana kulinyanyua hapo itabidi niweke tena M2 nyingine.
Mkuu hapo inatembea na inafanya kazi.. imepaki kwa mda mrefu tu.. hapo ukifika unawasha na kuondoka
 
NIMECHUKUA MAONI YENU.. TATIZO MM MWENYEWE NIPO MKOANI.. AMEBAKI WIFE TU HUKO NDO ALIEPIGA PICHA. NIMEAGIZA LIOSHWE NA LITOLEWE HAPO ILI TULILETE HAPA LIKIWA KAMA MULIVOSHAURI[emoji120]
 
Back
Top Bottom