Car4Sale Ninauza Nissan kwa Tsh Milioni 2

Ni ngumu kumuaminisha mtu kuwa hiyo gari inatembea hapo ilipo kutokana na mazingira na hali iliyo nayo.

Kwenye biashara huwa wanasema 'retail is detail". Ipe thamani biashara yako kwa kuzingatia vitu vidogo vidogo tu ambavyo vinaweza kubadilisha hata mtazamo wa mteja.

Kwa picha hiyo, jiiandae na wajuaji wa JF wanaomiliki ma Range ya nadharia huku wakiwa hawana hata mkokoteni kuwa hilo ni scrapper na kupewa offer za laki 2.
 
Nimeagiza litolewe lioshwe lipigwe picha vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…