Andrometer
Member
- Feb 26, 2019
- 81
- 67
Hapana hakuna hapajai maji, unawezaona kwenyepicha elevation ukifananisha na nyumba za nyuma yakeMazingira yanaonekana kama sehemu inayo jaa maji
Bei ya mwisho ni ngapi? Ofa yangu hata kabla sijaiona ni 12mi/- UNASEMAJE? Tujadiliane kisha mambo mengine yafuate.Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani)
Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master), sebure, dinning, jiko na public toilet.
Ina umeme na maji ya Dawasco
Haina udalali
Note; gari alifiki hadi ndani(linaishia nyumba moja kabla)
Mawasiliano 0716440258View attachment 1803780View attachment 1803781View attachment 1803782View attachment 1803784View attachment 1803785
Hapana.Bei ya mwisho ni ngapi? Ofa yangu hata kabla sijaiona ni 12mi/- UNASEMAJE? Tujadiliane kisha mambo mengine yafuate.
Asante kwa ushauri but kuna uhitaji wa fedha uliojitokeza ndiyo mana inauzwa, hivi tunavyoongea nyumba inawapangaji vyumba vyote, ila huo huhitaji wa fedha ndiyo unaelekea iuzweHapa mkuu inabidi uingize hela ufanye mabadiliko ndipo uiuze
vinginevyo tengeneza mazingira ya kuwauzia benki.
japo nakushauri ungeweza kubadilisha matumizi pia kwa kadri utakavyoona inalipa.
Kwa tabata nyumba yenye vigezo hivyo gari ikifika haupati chini ya 50.Kama gari halifiki punguza bei.
Sawa basi fuata ushauri wa akina Chiwa na Banjuka ili ufikie lengo lako. Kila la heri.Hapana.
Ningekutaftia mteja sema tu usha tu block madalaliKama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani)
Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master), sebure, dinning, jiko na public toilet.
Ina umeme na maji ya DAWASCO
Haina udalali
Note; gari alifiki hadi ndani(linaishia nyumba moja kabla)
Mawasiliano 0716440258
kama hujaiona unatajaje bei ya kuanzia?Bei ya mwisho ni ngapi? Ofa yangu hata kabla sijaiona ni 12mi/- UNASEMAJE? Tujadiliane kisha mambo mengine yafuate.
Ungepiga simu ukajieleza kua "mimi nina mteja nikamleta akanunua yangu sh ngapi?" Ama "nataka sh.... ikiwa mteja wangu atanunua"Ningekutaftia mteja sema tu usha tu block madalali
Hayo ni mabomba ya kupumulia kwenye msingi, ni vile picha imepigwa kwa mbali ndiyomana hauyaonihii ninamleta ndugu yangu ila kwanza nijue hayo matobo tobo ukutani nje ni ya nini? mlisahau kuweka mabomba ya kupumlia kwneye msingi ama ilikuwaje?
Waambie hao wenzangu mkuu mi najua watu kama hawa hawachelewi kudhulumu hela za juuUngepiga simu ukajieleza kua "mimi nina mteja nikamleta akanunua yangu sh ngapi?" Ama "nataka sh.... ikiwa mteja wangu atanunua"
Ndivyo wenzako wanafanya
Wanajua tayariWaambie hao wenzangu mkuu mi najua watu kama hawa hawachelewi kudhulumu hela za juu