House4Sale Ninauza nyumba Tabata mil. 30

Andrometer

Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
81
Reaction score
67
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani)
Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master), sebure, dinning, jiko na public toilet.
Ina umeme na maji ya DAWASCO

Haina udalali

Note; gari alifiki hadi ndani(linaishia nyumba moja kabla)

Mawasiliano 0716440258

20210530_144639.jpg
20210530_144757.jpg
20210530_144837.jpg
20210530_144853.jpg
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani)
Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master), sebure, dinning, jiko na public toilet.
Ina umeme na maji ya Dawasco

Haina udalali
Note; gari alifiki hadi ndani(linaishia nyumba moja kabla)

Mawasiliano 0716440258View attachment 1803780View attachment 1803781View attachment 1803782View attachment 1803784View attachment 1803785
Bei ya mwisho ni ngapi? Ofa yangu hata kabla sijaiona ni 12mi/- UNASEMAJE? Tujadiliane kisha mambo mengine yafuate.
 
Hapa mkuu inabidi uingize hela ufanye mabadiliko ndipo uiuze
vinginevyo tengeneza mazingira ya kuwauzia benki.
japo nakushauri ungeweza kubadilisha matumizi pia kwa kadri utakavyoona inalipa.
 
Asante kwa ushauri but kuna uhitaji wa fedha uliojitokeza ndiyo mana inauzwa, hivi tunavyoongea nyumba inawapangaji vyumba vyote, ila huo huhitaji wa fedha ndiyo unaelekea iuzwe
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani)
Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master), sebure, dinning, jiko na public toilet.
Ina umeme na maji ya DAWASCO

Haina udalali

Note; gari alifiki hadi ndani(linaishia nyumba moja kabla)

Mawasiliano 0716440258
Ningekutaftia mteja sema tu usha tu block madalali
 
hii ninamleta ndugu yangu ila kwanza nijue hayo matobo tobo ukutani nje ni ya nini? mlisahau kuweka mabomba ya kupumlia kwneye msingi ama ilikuwaje?
 
Hayo ni mabomba ya kupumulia kwenye msingi, ni vile picha imepigwa kwa mbali ndiyomana hauyaoni
 
Ungepiga simu ukajieleza kua "mimi nina mteja nikamleta akanunua yangu sh ngapi?" Ama "nataka sh.... ikiwa mteja wangu atanunua"

Ndivyo wenzako wanafanya
Waambie hao wenzangu mkuu mi najua watu kama hawa hawachelewi kudhulumu hela za juu
 
Back
Top Bottom