SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

Status
Not open for further replies.

Millions 3 kwa zote?na je kuna umbali gani kutoka balabala ya RAMI mpk shamba?
 
mil3????? aisee je vipi kuhusu maji yako karibu au hakuna maji?

na kuhusu hilo shamba halina migogoro yoyote maana unaweza uziwa gunia kavu?
 
Hata siku moja.
Nimefika huko bado sana kwa kusema kilimo.
Sio kama nakuharibia biashara hapana, picha nazo ungetuma zingesaidia ila hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nanasi zinalimwa sana huku, sijui kilimo gani haswa unachozungumzia.

Kuhusu kuniharibia biashara hauwezi mkuu maana hata usiponunua wewe atanunua mwingine Mwenye uhitaji maana malengo yanatofautiana, wewe unaweza kuhitaji eneo kwa ajili ya kilimo huku mwenzio akalihitaji eneo hilohilo kwa ujenzi.

Kwa hiyo usijali boss wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu ambapo mananasi yanapatikana hakuna mashamba ambayo yanauzwa. Nilikuja nikapitishwa sehemu hiyo, mara nasonga mbele tu hadi nakutana na pori mbele sana sana tu.
Kama ni maeneo yanapolimwa nanasi sema. Lkn si vingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilichosema ni kwamba eneo linafaa kwa kilimo cha nanasi pia, pia siyo kweli umepitishwa maeneo yote panapolimwa nanasi na hujakuta hata sehemu moja haiuzwi kwa kuwa ninawafahamu watu wengi wanaouza maeneo hata yakiwa tiyari yameshaoteshwa nanasi tiyari.

Usijaribu kupotosha umma kwa findings zako za uongo boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…