SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

Status
Not open for further replies.
Kweli vyuma vimekaza yaani Shamba la 3m la kupima halijapata mteja miezi mi3 Sasa!! $#!kamoo [emoji481][emoji481][emoji481]
 
KAKA KUNA KAMPUNI WANAJIITA KVP INTERPISES KAMA SIJAKOSEA WANAUZA MASHAMBA FUKUSIYO BAGAMOYO KILA JUMAMOSI WANAWAPELEKA WATU KUWAONYESHA JE NA WEWE NI HAO AU, HIYO FUKUSIYO INA UKUBWA GANI MBONA MASHAMBA HAYAISHI JAMANI AU HAKUFAI
Tuviwanja twao tudogo halafu tumebanana kama makreti ya soda
 
Habari wakuu,

Nina shamba langu nauza, lipo Bagamoyo kijiji cha Fukayosi.

Ni takribani kilomita 18 kutokea Bagamoyo mjini mpaka lilipo shamba.

Shamba limepimwa, lina hati, limezungushiwa kingo pande zote na halina mgogoro wowote.

Gari inafika mpaka shamba maana eneo limepangiliwa na barabara zinapitika majira yote.

Ukubwa wa shamba ni hekari mbili.
Shamba halina dalali kwani mimi ndie muuzaji na mmiliki.

Bei ni Shilingi Milioni tatu (3),pungufu tunazungumza.

Tunaweza kuwasiliana kupitia PM kwa aliye tiyari pia kwa utaratibu wa kuliona shamba na kujiridhisha.

Kwa wahitaji karibuni sana.

NYONGEZA!

[quote uid=21139 name="Shark" post=23279949]Pengine kuna details ungeongezea zaidi,

- Je, Limesafishwa?

- Kutoka lami hadi shamba ni umbali gani?

- Linalimika mazao gani?

Reply

- Asaante Mkuu .

Ukipitia mjadala mzima hakuna nilichokificha!Ila siyo mbaya nitajibu tena.

Shamba ni Safi nilishalisafisha , hamna miti wala visiki zaidi ya majani ya kawaida tu.

Kutoka lami mpaka lilipo Shamba hesabu Km 8.

Nanasi huku ndio penyewe .

Shamba lina beacon pande zote kwa ajili ya mpaka.

Ni eneo zuri sana ukilinganisha na bei tajwa, ni changamoto tu za kimaisha ndiyo zimenifanya niliuze but mnunuzi hatojutia.
Duh toka mwaka juzi bado halijanunuliwa tuu? Au ndio hilo watu zaidi ya kumi wanauziwa shamba hilohilo?[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
siyo mwaka Juzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom