Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

mwenyehekima

Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
25
Reaction score
16
Nauza shamba langu zuri la umwagiliaji lipo wilaya ya Simanjiro, msitu wa tembo - Londoto. Shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. Karibuni sana.
 
Nauza shamba langu nzuri la umwagiliaji lipo wilaya ya simanjiro-londoto. shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. karibuni sana
Mkoa gani mkuu
 
Nauza shamba langu nzuri la umwagiliaji lipo wilaya ya simanjiro, msitu wa tembo -londoto. shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. karibuni sana
Milioni 60 kwa ekari 20...ina maana kila ekari ni milioni 3! Ebu fafanua kuna investments gani tayari zipo hapo shambani kustahili bei hiyo?
 
Back
Top Bottom