mwenyehekima
Member
- Oct 16, 2014
- 25
- 16
Mkoa gani mkuuNauza shamba langu nzuri la umwagiliaji lipo wilaya ya simanjiro-londoto. shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. karibuni sana
ManyaraMkoa gani mkuu
Hujui Simanjiro ni mkoa gani? Anyways Simanjiro niijuayo mimi umwagiliaji sidhani maana ni semi arid climate.Mkoa gani mkuu
Nilitaka niulize hivi maana Simanjiro ninayoijua Mimi hata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka Ni kubahatisha tuHujui Simanjiro ni mkoa gani? Anyways Simanjiro niijuayo mimi umwagiliaji sidhani maana ni semi arid climate.
Simanjiro ni Manyara formerly Arusha.
Nilitaka niulize hivi maana Simanjiro ninayoijua Mimi hata msimu mmoja wa mvua kwa mwaka Ni kubahatisha tuMaji unapata wapi ? Simanjiro hapo jangwani
Duh disko limeingia Masai.Acha aje atwambie sababu maji yanapatikana kwa kusomba na punda kilometers kibao
Hii simanjiro imepakana na moshi mjini, shamba lipo nyuma ya kiwanda cha TPC MoshiHujui Simanjiro ni mkoa gani? Anyways Simanjiro niijuayo mimi umwagiliaji sidhani maana ni semi arid climate.
Simanjiro ni Manyara formerly Arusha.
Duh disko limeingia Masai.
Du huko hatujawai kupata hiyo adhabu, tunasikia tu kama hadithi, huku ni umande mtupu. Tupo nyuma ya kiwanda cha TPC Moshi.Acha aje atwambie sababu maji yanapatikana kwa kusomba na punda kilometers kibao
Okay ni msitu wa tembo karibu na mto pangani au?hii simanjiro imepakana na moshi mjini, shamba lipo nyuma ya kiwanda cha TPC moshi
Ndio mkuu huko hukoOkay ni msitu wa tembo karibu na mto pangani au?
Okay kama huko sawandio mkuu huko huko
Milioni 60 kwa ekari 20...ina maana kila ekari ni milioni 3! Ebu fafanua kuna investments gani tayari zipo hapo shambani kustahili bei hiyo?Nauza shamba langu nzuri la umwagiliaji lipo wilaya ya simanjiro, msitu wa tembo -londoto. shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. karibuni sana