Car4Sale Ninauza Toyota IST

lake zone

Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
47
Reaction score
52
Nauza gari yangu, aina ya Toyota IST,

Cc 1200, yani mafuta kidogo umbali mwingi, Gari ni nzuri sana, nimeitunza vizuri sana, bei naanzia 8.8M, maongezi kidogo yapo.

Gari ipo Mwanza, ni cheki kwa 0762845506

 
Inachangamoto yeyote?
Ishawahi kupata ajali?
Imerudiwa rangi?
Documents zake zinamajina yako?
n.k
 
Ameuliza swali la msingi kabisa, otherwise uwe hufahamu kanuni za manunuzi ya bidhaa hizi
Hahahahaha Mimi MTU akishauliza kwanini nauza, najuaga hamna biashara hapo. Kwahio unataka ajibiweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…