Ninauza used Alitop Smart TV inch 32

Ninauza used Alitop Smart TV inch 32

Prince Luanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
2,255
Reaction score
2,825
Wakuu ninauza TV tajwa hapo juu ni yangu mwenyewe

Vipengele:

Mfuniko wa remote haufungi hii niliuziwa hivihivi kwa sababu wakati nanua remote ilikuwa kwenye kimfuko chake so sikugundua hadi nilipofika home.

Vilevile kwa nyuma ina kitu kama antenna hivi kwa bahati niliitegua mimi mwenyewe wakati nafuta vumbi.

Tofauti na vipengele tajwa hapo juu haina tatizo lolote.

Sababu ya kuuza nimekwama kifedha.

Bei ni 150,000 japo niliinunua kwa 270,000.

Location; Dar es salaam, Kigogo Mwisho jirani na mburahati au hata kigogo post ni rahisi kufika kwangu uikague.

Sms/WhatsApp 0693 010101 ...karibuni.
IMG_20230324_200148.jpg
IMG_20230324_195841.jpg
IMG_20230324_201054.jpg
 
Ehhh kichogo unaweka wapi sasa!!! Kwanza hiyo hela huna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichogo namuhonga mwanamke yoyote wa jf, kuhusu kuwa na hela ni kweli sina mkuu mpaka baba anipe maana me ni mtoto wake wa mwisho japo nina miaka 48
 
Kichogo namuhonga mwanamke yoyote wa jf, kuhusu kuwa na hela ni kweli sina mkuu mpaka baba anipe maana me ni mtoto wake wa mwisho japo nina miaka 48
Kwa hiyo leo hunitoi out?! Maana nasikia tairi za gari la mshua umezipiga mnada ukasingizia wahuni,na umeapa wauza mbege lazima wakukome🤣🤣🤣😁😁😁😀😭
 
Kwa hiyo leo hunitoi out?! Maana nasikia tairi za gari la mshua umezipiga mnada ukasingizia wahuni,na umeapa wauza mbege lazima wakukome🤣🤣🤣😁😁😁😀😭
Tena sio matairi tu nataka nilipige bei na gari lenyewe

Kuhusu kukutoa out usijali me kila siku kwangunni kama weekend tu so jiandae jioni twende kitambaa cheupe tukatulize mioyo
 
Mm nahitaji inch 43, bajeti yangu ni 350,000/= atakaekuwa nayo akuje inbox . Nipo kahama kwa sasa
 
Back
Top Bottom