Ninauza vifaranga wa kienyeji(hybrid)

Ninauza vifaranga wa kienyeji(hybrid)

gloria jm

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
60
Reaction score
22
Wadau ninauza vifaranga wa kienyeji hybrid kwa bei ya sh 1500 kwa kifaranga cha siku 3, sh 2000 kifaranga cha wiki 1, sh 2500 cha wiki 3.
Kwa mawasiliano piga 0658428186 au ni inbox number yako hapa nitakupigia.
 

Attachments

  • 1400569546085.jpg
    1400569546085.jpg
    31.6 KB · Views: 144
  • 1400569584409.jpg
    1400569584409.jpg
    56.8 KB · Views: 157
  • 1400569649637.jpg
    1400569649637.jpg
    21.3 KB · Views: 136
  • 1400569763784.jpg
    1400569763784.jpg
    57.7 KB · Views: 148
Mkuu hivyo vifaranga viko maeneo gani?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wanapatikana morogoro ila popote ulipo tz utatumiwa
 
Niko morogoro b kihonda karibu na chuo cha kiislam cha morogoro
 
Wadau ninauza vifaranga wa kienyeji hybrid kwa bei ya sh 1500 kwa kifaranga cha siku 3, sh 2000 kifaranga cha wiki 1, sh 2500 cha wiki 3.
Kwa mawasiliano piga 0658428186 au ni inbox number yako hapa nitakupigia.

nitakutafuta
 
Back
Top Bottom