INAUZWA Ninauza vitambaa, mito na foronya kwa bei nafuu sana

INAUZWA Ninauza vitambaa, mito na foronya kwa bei nafuu sana

Mziray m

Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
10
Reaction score
10
Vitambaa set moja ni sh.70,000 kwa 80,000.

Mto na foronya moja ni sh.15000 karibuni sana wateja ninapatikana Tunduma Songwe.

Kwa mawasiliano ni kupitia namba 0758267513.

IMG-20190823-WA0021.jpg
IMG-20190823-WA0007.jpg

IMG-20190823-WA0024.jpg
 
Ndugu yangu hii kitu imepita fasheni,tengeneza mito mikubwa ya kulalia utauza hachana na hii ya urembo,
Usimkatishe tamaa bwana, wateja wa hizi kitu bado wapo
 
Acha kumpotosha ndugu yangu nani ananunua hii kitu.mi nimemwambia kwa nia njema tu awe creative watu wanaenda na fasheni siku hizi
Kwa standard zako imepitwa na wakati. Huku kwetu ipo na tunanunua.
 
Sasa mbona unampitosha huyu kamanda na vitambaa vyake ahaaaa
Simpotoshi maana wapo wanaopenda na ninawaona huku mtaani. Mimi sio taste zangu lkn naadmire kipaji chake
 
Dah mkuu hii mambo kumbe bado ipo, last time niliona hizi vitu kwa grandma, longtime Sana, grandma mwenyewe keshastyle up
 
Back
Top Bottom