Ninavutiwa na mpangilio wa Nyumba hii

Ninavutiwa na mpangilio wa Nyumba hii

Yani mtu anajenga ukumbi wa kukaa na ukumbi wa kulia cjakula alafu anasema nyumba za kimasikini anashindwa kujenga vyumba vinne.

Dining room unaiondoa kama kweli masikini unapata vyumba vinne.

Ukumbi wa kukaa ndio huo huo utakuwa ukumbi wa kulia.
Nyumba inavyoo vingi utafikiri familia huwa inafanya na sherehe ya kunya.
 
Hapo kwenye kuvuka corridor ndo uingie dinning ndo pameharibu,ilikuwa either hiki chumba kilichopo upande wa kushoto mwa sebule kiwe ndo dinning kirandane na jiko kisha hiko chumba kikakae ilipo dinning kwenye ramani yako.

Though siyo msanifu majengo naweza kosolewa.
Unajua
 
Kama uchumi unaruhusu jenga nyumba ya kueleweka, yenye vya kutosha(angalau kuanzia 4).

Mambo ya kulazimika kulala kwa jirani ili umpishe mgeni sio poa kabisa
Mkuu wewe mnyamwezi?
Mimi biashara ya kurundika ndg hapana, nitawalaza lodge.
Pia hili la kupisha mgeni ukalale kwa jirani zilipendwa
 
Mkuu wewe mnyamwezi?
Mimi biashara ya kurundika ndg hapana, nitawalaza lodge.
Pia hili la kupisha mgeni ukalale kwa jirani zilipendwa
Mimi sio mnyamwezi, Lisu ni ndugu yangu.

Sawa mkuu, kutofautiana ni jambo la kawaida, kila mmoja inampasa kufanya analopenda.

Ila tusiache kushauriana na kupeana mitazamo yetu.
 
Mimi naamini kuwa na nyumba yenye vyumba vingi inasababisha kuvutia wategemezi wasio wa lazima.

Vyumba vitatu vinatosha kwa familia standard. Kisha nje unajenge servant house ya vyumba vili vyote self.
Hapo ukipata mgen analala uko.
Mimi ni muumini wa nyumba ndogo inayoitosha familia yangu, wageni wakika wa kike watalala kwa chumba cha binti wa kiume watalala chumba cha kijana.

Ndugu ni watu wa kupita tu,jua pia watoto watakuwa wataondoka hiyo nyumba itakuwa kubwa, hata kuimaintain itakuwa kazi.
 
Mimi ni muumini wa nyumba ndogo inayoitosha familia yangu, wageni wakika wa kike watalala kwa chumba cha binti wa kiume watalala chumba cha kijana.

Ndugu ni watu wa kupita tu,jua pia watoto watakuwa wataondoka hiyo nyumba itakuwa kubwa, hata kuimaintain itakuwa kazi.
Duuh.
 
IMG_0946.jpg
 
Vyumba vilivyoko kulia, yaan upande ilipoi Public Toilet si ungeviongezea madirisha yawe mawili mawili kwa kila chumba? Nini sababu ya kutoweka madirisha kwenye ukuta wa kulia??
Hata mimi nimeliona hilo
 
Mkuu tatizo ni uwezo, kibongo bongo kutokana na uchumi wa mtu mmoja mmoja kutoruhusu kumiliki nyumba kubwa wengi wamechagua style hii ya ujenzi, master bedroom chumba cha watoto wa kike na chumba cha watoto wa kiume bora familia yake ijisitiri ila kama mtu uwezo unao siyo mbaya nyumba yako kuwa na vyumba kuanzia vitano+ ili kukamilisha mahitaji yote.
Mkuu kwa mtazamo wangu hiyo nyumba inatosha kabisaaa, Dunia imebadilika sana yale mambo ya vijana kukaa nyumba hadi miaka 25 au 30 yalishapitwa na muda sana , hivyo mie sioni sababu ya kujenga nyumba kubwa kwa sababu watoto wenyewe wanaanza mambo ya kujitegemea mapema ......unakutaka kijana yuko chuo na amepanga na akimaliza chuo harudi tena home huyo.
 
Back
Top Bottom