Ninavyodhibiti gharama za umeme

Ninavyodhibiti gharama za umeme

Umeme ni moja ya gharama inayokula fedha sana,kwa sasa kwakuwa nimestaafu nipo home,natumia mbinu zifuatazo kupunguza matumizi ya umeme:
1.Kwenye nyumba nayoishi na mrs na familia kuna ststem mbili za umeme,wa tanesco na sola.Taa za kwenye geti na fensi natumia sola ambazo hujiwasha kuanzia saa 12 jioni,au giza likiingia
2.Umeme wa tanasco nautumia kwa taa za ndani,kuwezesha mafriji na vyombo vingine vya kupigia,tv,sistemu za muziki n.k ambapo ikifika saa 3 usiku taa zote za umeme za ndani tunazima na kutumia sola
3.Kwa kupikia natumia gesi na umeme ambapo yale majiki ya umeme ya kizamani,yaani zile oven kubwa tu na zenye banners za kupikia,tumeacha kutumia na zimebaki mapambo,sasa tunatumia majiko ya infrared,air frier ya kilo 10,pressure cooker ya kilo 10,ambavyo hutumia umeme kidogo kwa kazi kubwa
4.Matumizi yaa unawasha pale tu unapotaka kutumia na ukimaliza matumizi unazima,siruhusu taa kuwashwa bila sababu,vyakula aina ya maharage tunapika kwa pressure cooker tu,kuoka,kuchoma,kukaanga,kupika wali,ugali,chapati tuna alternate ama gesi ama air frier au pressure cooker.
Sasa kwa hatua zote hizo kwa mwezi nalipa umeme wa 60,000
Mimi umeme n 10,000 kwa mwez
 
Wenzio huku umeme wa buku yani units 2.8 tunatumia siku tatu matumizi yakiwa nakubwa ni mbili tu ,

Mbinu

Maharage, ugali wali tunapiki mkaa kopo 500/=

Mchana mambo ya tv hamnaa hivyo taa na tv zitawaka kuanzia saa moja na saa tatu mwisho

Kwa mwezi ni kama 10, 000/= au 15 ,000/= ndiyo tunatumia

Hata hivyo ninampango wakupunguza zaidi

Kuna jamaa namjua ni fundi umeme nataka nimuite anibadilishie jina la mita namba isome jina la mtu aliyekijijini huko ndani ndani

Maana kule vijijini watu wote wapo tarrif 0 ,, hivyo umeme wa 5000/= wanapewa zaidi ya units 20 za umeme..

Kwa hiyo na mimi kwa kubadilisha jina nikaonekana naishi kijijini nitaweza kupewa units nyingi kwa gharama ndogo

Huwa naumia sana kwanini tununuapo umeme wanatukata 3% za umeme wa REA
kumbe inawezekana kubadili jina la meter??
 
Wengine Watakuponda Kuwa Mbahiri Ingawa Unapiga Hatua Na Huombi Mtu, Maisha Unayafurahia Vizuri
 
wadau,umeme unachajiwa kwa tarifu uliyonayo,kwa tarifu za chini ndio unaweza kutumia uniti 2 au 3 kwa siku,na tarifu inategemea vifaa ulivyonavyo nyumbani,muhimu ni kutafuta mbinu ya kupunguza matumizi
 
Umeme ni moja ya gharama inayokula fedha sana,kwa sasa kwakuwa nimestaafu nipo home,natumia mbinu zifuatazo kupunguza matumizi ya umeme:
1.Kwenye nyumba nayoishi na mrs na familia kuna ststem mbili za umeme,wa tanesco na sola.Taa za kwenye geti na fensi natumia sola ambazo hujiwasha kuanzia saa 12 jioni,au giza likiingia
2.Umeme wa tanasco nautumia kwa taa za ndani,kuwezesha mafriji na vyombo vingine vya kupigia,tv,sistemu za muziki n.k ambapo ikifika saa 3 usiku taa zote za umeme za ndani tunazima na kutumia sola
3.Kwa kupikia natumia gesi na umeme ambapo yale majiki ya umeme ya kizamani,yaani zile oven kubwa tu na zenye banners za kupikia,tumeacha kutumia na zimebaki mapambo,sasa tunatumia majiko ya infrared,air frier ya kilo 10,pressure cooker ya kilo 10,ambavyo hutumia umeme kidogo kwa kazi kubwa
4.Matumizi yaa unawasha pale tu unapotaka kutumia na ukimaliza matumizi unazima,siruhusu taa kuwashwa bila sababu,vyakula aina ya maharage tunapika kwa pressure cooker tu,kuoka,kuchoma,kukaanga,kupika wali,ugali,chapati tuna alternate ama gesi ama air frier au pressure cooker.
Sasa kwa hatua zote hizo kwa mwezi nalipa umeme wa 60,000
Maelezo kibao umeme wa Tanesco bila kuchakachua utachemka
 
Aise yaani ume stafu kazi halafu unatumia umeme wa elfu 60 ?
Ebu fukuza members wote wa familia waliofika umri wa kujitegemea ubaki na wajukuu wawili wa kuwatuma maji ya kunywa tu.
 
Hoja sio watu wangapi,hoja ni vifaa vipi mnatumia,kwa sasa najaribu kupunguza 2 units per day ndio nipo kwenye study
 
Kesho nataka nipime huu umeme kama kuna shida,ntazima asb saa 12 kwenye main switch then ntauwasha saa 12 jioni hapo ntaamgalia je ulitumika kipindi nimezima?Kama ntakuta umetumika basi ntajua kuna dosari
 
Umeme ni moja ya gharama inayokula fedha sana,kwa sasa kwakuwa nimestaafu nipo home,natumia mbinu zifuatazo kupunguza matumizi ya umeme:

1.Kwenye nyumba nayoishi na mrs na familia kuna ststem mbili za umeme,wa tanesco na sola.Taa za kwenye geti na fensi natumia sola ambazo hujiwasha kuanzia saa 12 jioni,au giza likiingia

2.Umeme wa tanasco nautumia kwa taa za ndani,kuwezesha mafriji na vyombo vingine vya kupigia,tv,sistemu za muziki n.k ambapo ikifika saa 3 usiku taa zote za umeme za ndani tunazima na kutumia sola

3.Kwa kupikia natumia gesi na umeme ambapo yale majiki ya umeme ya kizamani,yaani zile oven kubwa tu na zenye banners za kupikia,tumeacha kutumia na zimebaki mapambo,sasa tunatumia majiko ya infrared,air frier ya kilo 10,pressure cooker ya kilo 10,ambavyo hutumia umeme kidogo kwa kazi kubwa

4.Matumizi yaa unawasha pale tu unapotaka kutumia na ukimaliza matumizi unazima,siruhusu taa kuwashwa bila sababu,vyakula aina ya maharage tunapika kwa pressure cooker tu,kuoka,kuchoma,kukaanga,kupika wali,ugali,chapati tuna alternate ama gesi ama air frier au pressure cooker.

Sasa kwa hatua zote hizo kwa mwezi nalipa umeme wa 60,000
Unalipa 60,000/- Toka shilingi ngapi?
 
Wenzio huku umeme wa buku yani units 2.8 tunatumia siku tatu matumizi yakiwa nakubwa ni mbili tu ,

Mbinu

Maharage, ugali wali tunapiki mkaa kopo 500/=

Mchana mambo ya tv hamnaa hivyo taa na tv zitawaka kuanzia saa moja na saa tatu mwisho

Kwa mwezi ni kama 10, 000/= au 15 ,000/= ndiyo tunatumia

Hata hivyo ninampango wakupunguza zaidi

Kuna jamaa namjua ni fundi umeme nataka nimuite anibadilishie jina la mita namba isome jina la mtu aliyekijijini huko ndani ndani

Maana kule vijijini watu wote wapo tarrif 0 ,, hivyo umeme wa 5000/= wanapewa zaidi ya units 20 za umeme..

Kwa hiyo na mimi kwa kubadilisha jina nikaonekana naishi kijijini nitaweza kupewa units nyingi kwa gharama ndogo

Huwa naumia sana kwanini tununuapo umeme wanatukata 3% za umeme wa REA
Hapa umezungumzia na kawizi kidogo ili kupunguza gharama
 
Umeme ni moja ya gharama inayokula fedha sana,kwa sasa kwakuwa nimestaafu nipo home,natumia mbinu zifuatazo kupunguza matumizi ya umeme:

1.Kwenye nyumba nayoishi na mrs na familia kuna ststem mbili za umeme,wa tanesco na sola.Taa za kwenye geti na fensi natumia sola ambazo hujiwasha kuanzia saa 12 jioni,au giza likiingia

2.Umeme wa tanasco nautumia kwa taa za ndani,kuwezesha mafriji na vyombo vingine vya kupigia,tv,sistemu za muziki n.k ambapo ikifika saa 3 usiku taa zote za umeme za ndani tunazima na kutumia sola

3.Kwa kupikia natumia gesi na umeme ambapo yale majiki ya umeme ya kizamani,yaani zile oven kubwa tu na zenye banners za kupikia,tumeacha kutumia na zimebaki mapambo,sasa tunatumia majiko ya infrared,air frier ya kilo 10,pressure cooker ya kilo 10,ambavyo hutumia umeme kidogo kwa kazi kubwa

4.Matumizi yaa unawasha pale tu unapotaka kutumia na ukimaliza matumizi unazima,siruhusu taa kuwashwa bila sababu,vyakula aina ya maharage tunapika kwa pressure cooker tu,kuoka,kuchoma,kukaanga,kupika wali,ugali,chapati tuna alternate ama gesi ama air frier au pressure cooker.

Sasa kwa hatua zote hizo kwa mwezi nalipa umeme wa 60,000
Mbona huu mwandiko sio wa ki ustaafu kabisa
 
Ongera mkuu kwa nidhamu ya matumizi kila kitu mjini au kjjijini ukikikokotoa kwa mlengo wa fedha utaokoa pakubwa
 
SIsi tumepunguza baadhi ya vitu, ndiyo tunanunua 70k kwa mwezi. Nitajaribu hiyo solar kwenye kitu kingine.
 
Back
Top Bottom