Ninavyomkumbuka Maalim

Kwani Mohamed Said akiwa anaandika habari za Wazee wake wa Kiislam peke yake inamuathiri 'mtanzania wa kawaida'?

Mnaleta hoja za kidini, mkijibiwa kichaka chenu cha kujificha ni kile kile cha siku zote 'inamsaidiaje Mtanzania wa kawaida?'

Kuna msemo wetu huku uswekeni,

'…kama huna ujasiri wa kumjua Hawara ya Mama yako, usimuulize nani huwa anaingia chumban kwako usiku?'
 
Kulumbana na wewe is like walking in and out through a revolving door all day long: In other words, it’s a waste of intellectual effort. It appears that you hold certain “truths”about the welfare and situation of Muslims in Tanzania as if those “truths” are undeniable and unrefutable like verses of the Quran. Wewe pekee yako ndiyo unajua ukweli wote. Wengine wote ni wajinga na wapotoshaji. Wewe pekee yako ndiyo unajua Historia yote ya Tanzania, na ukweli mzima kama Mtume Muhammad. Mawazo mbadala ya masuala kadhaa ya kadhaa unayokereketwa nayo, huna muda wa kutoa tathmini yako au maoni, unasema “unawaachia wasomaji” waamue ukweli upo wapi. Lakini hapo hapo huchelewi kuwaita wajinga na wapotoshaji. Sababu wewe pekee yako “unajua” kila kitu. Ukweli mzima. Watu wote wengine wanakosea isipokiwa wewe
 
Schmidt,
Ikiwa hivyo ndivyo unavyoniona.

Sawa.
 
Schmidt,
Ikiwa hivyo ndivyo unavyoniona.

Sawa.

..on a lighter note, hivi aliyekutuma uvae suruali yenye marinda kwenye interview ya Hamza Kasongo nani?

..wallah ningekuwa studio manager nisingekuruhusu uende live umevaa namna ile.

..halafu unajiita mzawa wa kariakoo. kweli? kwanini usiende hata mtaa wa Pemba ukaanua suruali za kisasa?

..ulitakiwa upige suruali murua, sandals za clarks, na kofia ya kufuma.

..C'mon man!!🤣
 
Schmidt,
Ikiwa hivyo ndivyo unavyoniona.

Sawa.
For the most part, that's how I think you are the type of intellectual fraud who does not adhere to strict rules of academia to be considered open, scientific, objective, and credible.
 
JK,
Eh bwana we!
Huoni mimi jua lishanichwea.

Hiyo hela ya designers ningeitoa wapi?
Kwani pants za marinda out of fashion?

Nacheka peke yangu kama mwehu.
 
JK,
Eh bwana we!
Huoni mimi jua lishanichwea.

Hiyo hela ya designers ningeitoa wapi?
Kwani pants za marinda out of fashion?

Nacheka peke yangu kama mwehu.
JK,
2015.
Instabul Book Fair.

Miguu inaniwanga kwa kuzuru vibanda vya vitabu nimeamua kukaa chini ninywe maji.

Angalia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…