Kwani Mohamed Said akiwa anaandika habari za Wazee wake wa Kiislam peke yake inamuathiri 'mtanzania wa kawaida'?
Mnaleta hoja za kidini, mkijibiwa kichaka chenu cha kujificha ni kile kile cha siku zote 'inamsaidiaje Mtanzania wa kawaida?'
Kuna msemo wetu huku uswekeni,
'…kama huna ujasiri wa kumjua Hawara ya Mama yako, usimuulize nani huwa anaingia chumban kwako usiku?'

Mzee wangu MS,
Habari wa mawaziri Wakristo kuwa wengi kuzidi waislam haimsaidii mtanzania wa kawaida.Mbona sisi wapagani hatuna waziri lakini hatulalamiki?mzee wangu una masomo mazuri sana ya historia shida unamalizia kwa kuweka udini.Sijapata kuona mwandishi mwingine akiweka udini kama wewe Baba.
haya mambo ya udini ndio yanaturudisha nyuma.Baba achana na hii mambo ya kuwaaminisha vijana katika dini.Au kuwaambia vijana dini fulani inaonewa haisaidii zaidi ya kuvunja udugu wetu.