Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa

Nina imani ulipona maana kiuno kikileta mushkeri hasara kwa bibi
 
Nina imani ulipona maana kiuno kikileta mushkeri hasara kwa bibi
Unaruhusiwa kuja kuhakiki.......... nafasi ya mjukuu mtiifu bado iko wazi usisahau.....
 
Mkuu nahitaji masaji ya tumbo linajaa gesi
 
Pole sana, hayo ndo majaribu yenyewe hapo kweli utapona kuibwa, mama matesha alie tu.
 
Aisee kama unaona UTAMU namna hiyo. nielekeze nami nifanyeje niweze kutengua kuino halkafu nimpate huyo mtabibu mcheshi wa vitendo.

Pole sana kwa kuugua na hongera kwa kujifanya kuumwa ingawa umepona
Hivi mbona mmejaa uzinzi? kweli utengue kiuno makusudi halafu uende hospitali kisa tu ukapate masaji jamani, na ukitengua kiuno usipone tena baki hivyo hivyo ili ujue kwamba huo ni ugonjwa si wa kuuomba kama unavyotaka kufanya
 

Asprin na wewe, hivi bibi hajarudi bado, pengine ndio maana unataka kumsaliti sasa, kumbuka kuna mwali wako uliyetangaza hadharani kuwa ni yeye tu maisha yako yote, hebu kumbuka kiapo chenu, na shetani huyo ashindwe kabisa
 
Hehehehe...........Nyie watu hatari sana.

Nani kalifungua hili sredi? Khaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…