Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa

Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa

Nina imani ulipona maana kiuno kikileta mushkeri hasara kwa bibi
 
Nina imani ulipona maana kiuno kikileta mushkeri hasara kwa bibi
Unaruhusiwa kuja kuhakiki.......... nafasi ya mjukuu mtiifu bado iko wazi usisahau.....
 
Mkuu nahitaji masaji ya tumbo linajaa gesi
 
Pole sana, hayo ndo majaribu yenyewe hapo kweli utapona kuibwa, mama matesha alie tu.
 
Aisee kama unaona UTAMU namna hiyo. nielekeze nami nifanyeje niweze kutengua kuino halkafu nimpate huyo mtabibu mcheshi wa vitendo.

Pole sana kwa kuugua na hongera kwa kujifanya kuumwa ingawa umepona
Hivi mbona mmejaa uzinzi? kweli utengue kiuno makusudi halafu uende hospitali kisa tu ukapate masaji jamani, na ukitengua kiuno usipone tena baki hivyo hivyo ili ujue kwamba huo ni ugonjwa si wa kuuomba kama unavyotaka kufanya
 
Wapwa zangu na mabinamu,

Juzi kati hapa kaka mkubwa nlipata dhahma lililonilazimu kutokuwa hewani hapa na kuhamishia kambi hospitali. Nipeni pole tafadhali.

Mojawapo ya tiba nilizotakiwa kuzipata katika dhahma hii ni mazoezi ya viungo. Sasa sijui kama ni mpango wa hospitali au mipango ya Mungu kwa mimi kupewa physiotherapist yule anifanyie mazoezi na massage.

Massage anayonifanyia dada huyu, natamani nisipone haraka. Sijui ndio mwendo wenyewe au anafanya makusudi? Manake natakiwa kusaula viwalo vyote, nalazwa kitandani, napakwa mafuta halafu mikono milaini ambayo haijawahi kusonga ugali inakuwa inaniminyaminya maeneo ya kiunoni. Napata maumivu makali lakini nikimwangalia binti huyu huyu, maumivu yanaisha ghafla. Then nageuzwa kulala chali naye anaanza kunikanda upande wa baioloji. Balaa linaanzia hapo sasa kwa sababu samtaimz anapitiliza na kugusa ile sehemu kuu ya mwanaume.

Sasa najiuliza, huyu binti mrembo na mtanashati, kashajionea vya mama matesha kwa kiasi chake........halafu tumeshakuwa marafiki kiasi kwamba tumeshapeana namba za simu incase of emergency..... sistahili nami kumlipizia mama matesha kwa kuviangalia vya huyu binti? Manake nshapona lakini najikuta nadanganya sijapona ili niendelee na matibabu haya.....!!!

Na ikitokea ikawa hivyo. hiyo nayo itakuwa infidelity au sehemu ya tiba?

Ntawamiss sana maswahiba kwa wiki mbili hizi hapo kaunta......niko bize najitibia.

Nawatakieni wikiendi njema, hatutakuwa sote kaunta.....:violin::violin::violin:

Asprin na wewe, hivi bibi hajarudi bado, pengine ndio maana unataka kumsaliti sasa, kumbuka kuna mwali wako uliyetangaza hadharani kuwa ni yeye tu maisha yako yote, hebu kumbuka kiapo chenu, na shetani huyo ashindwe kabisa
 
Hehehehe...........Nyie watu hatari sana.

Nani kalifungua hili sredi? Khaa!
 
Back
Top Bottom