Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
- Thread starter
-
- #21
Hata mimi nawapenda woteWote wanakupenda wewe ila WEWE huwapendi wote katika usawa sawia sio kazi ngumu kuchagua mmoja...Acha tamaa achia wengine watafute riziki zao pahali pengine.
Mkuu ahsante kwa ushauri mzurioa bikra,
Habari za leo ndugu zangu,
Katika maisha tunapitia mengi sana lakini yapo mengine ni magumu mno kuyafanyia maamuzi.
Katika pitapita zangu na kuzunguka mikoa mbalimbali bahati mbaya nilijikuta nawazimikia wanawake wanne katika vipindi tofauti.
Mbaya zaidi wote wananipenda pia na wote wanasifa zile nazozihitaji.
Sasa muda wangu wa kuoa umefika. Nahitaji kuoa. Lakini cha ajabu kufanya maamuzi imekua ni ngumu sana. Na nzuri zaidi wote hawajuani
Jamani nipeni mbinu nifanyaje ili nichukue maamuzi chanya.Namimi huwa siachi mwanamke kabisa, nina huruma ile mbaya.
oa bikra,
Nimeshaweka sifa zote pale juu mkuuTupe sifa za mmoja mmoja picha uctume wasije wakawa wanafanana na madem zetu humu ili tuje sasa kukupa ushauri nasaha na matibabu ya tatzo lako la huruma
Hahaaaa mkuu kuoa ni kazi sanaAlokwambia kila mtu anapaswa aoe nani? Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu, hii ya kila mvaa suruali kujiona anapaswa kuoa ndio mnatuletea matatizo kwenye jamii.
Nimeshaweka sifa zote pale juu mkuu
Hahahaaaaaaa hiyo sio nzuriweka picha zao sasa, hasa uyo anaecheza namba zote
Nimeshaweka sifa zote pale juu mkuu
Sawa sawa mkuu, shukrani sana.Apo kwa upande Wang naona umli wako na maamuzi juu ya hili swala haviendani mi nkushauri kitu tafuta pesa ndoa skuizi ndoano
Iko ivi zamani ilikuwa unatupa n doano majini kisha unavua samaki lakin siku izi mambo yamerahisishwa sana yaani unavua samaki kisha unatupa n doano majini
Nazani tumeelewana sawaaa