Ninawashwa na koromeo nakohoa kikohozi kikavu nikihema napiga mluzi naogopa kwenda hospital nikihofia Mambo mawili yaweza kuwa covid au nikatengwa

Ninawashwa na koromeo nakohoa kikohozi kikavu nikihema napiga mluzi naogopa kwenda hospital nikihofia Mambo mawili yaweza kuwa covid au nikatengwa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.
 
Hamna ni hali ya hewa tu kama upo Dar..maana mimi siku tatu zile za sikukuu ijumaa mpaka j3 nilikua hoi kimtindo full kukohoa, kichwa, mafua!! nilipiga dawa si mchezo..sahizi nimepona!!
Nimeona wengi wanaumwa Cold & flu
 
Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize moshi wake ukiwa umejifunika taulo.
Usakwe kama alivyosakwa dokta Mwaka.
 
Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize moshi wake ukiwa umejifunika taulo.
We dada, hukusikia waziri amesema kujifukiza sio njia sahihi, kwamba mfumo wa hewa haukutengenezwa kwa ajili ya kupitisha joto?.

Kwamba kujifukiza kunaweza kusababisha madhara?

Anyway, madoctor huzidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We dada, hukusikia waziri amesema kujifukiza sio njia sahihi, kwamba mfumo wa hewa haukutengenezwa kwaajili ya kupitisha joto?.

Kwamba kujifukiza kunaweza kusababisha madhara?

Anyway, madoctor huzidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tiba tumeitumia miaka nenda rudi, na hasa mtu mwenye nimonia. Tunajua zaidi kuliko vitabu.
 
Vaa barakoa na ukumbe kujitenga angalau mita 2 na watu wengine na usiache kwenda hospitali tena usitumie usafiri wa umma.

Nenda kapime bhana ili uokoe maisha ya wengi ikiwemo wewe.
 
Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize moshi wake ukiwa umejifunika taulo.
Hii tiba tumeitumia miaka nenda rudi, na hasa mtu mwenye nimonia. Tunajua zaidi kuliko vitabu.
Sasa wengine mbona mchanganyiko kama huo tumeambiwa tunywe ,??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora uwah kituo cha afya maana kama ni wenyewe utaambukiza na wengine
 
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.

Hii hali nilikuwa nayo miaka yote kila msimu wa masika kuanzia mwezi wa 4 hapo mpaka wa 6 .. ná zaidi usiku na asubuhi .. nilijagundua ni “allergy “ na inasababishwa zaidi na kunywa pombe hasa bia zenye baridi.

Niliacha bia za baridi na ndio ikawa pona yangu. Kuna mada niliweka huku nadhani nikiomba ushauri. Sidhani kabisa kama kama hiyo ni Corona.
 
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.
Usisubiri kutengwa ,jitenge mwenyewe usiue ndugu zako wanaokuzunguka go alone nigga ,kunywa maji mengi na machungwa
Here some ideas to stay healthy:
🏃‍♀️
Be active
🥕
Eat healthy
🚭
Don’t smoke
🧘‍♀️
Meditate
📚
Read books
 
Back
Top Bottom