Ninawashwa na koromeo nakohoa kikohozi kikavu nikihema napiga mluzi naogopa kwenda hospital nikihofia Mambo mawili yaweza kuwa covid au nikatengwa

Ninawashwa na koromeo nakohoa kikohozi kikavu nikihema napiga mluzi naogopa kwenda hospital nikihofia Mambo mawili yaweza kuwa covid au nikatengwa

Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.
Dalili za CORONA ni hizi - Dry cough + sneeze + body pain + weakness + high fever + difficult breathing (Pathology department AIIMS, Delhi).

Dalili zako ni Neumonia
 
Mwenyewe Jumanne nimeumwa kichwa na kuwashwa koo mpaka jana jioni ndo vimeacha. Sasa hivi ni koo kuwasha na kukohoa tu.

Na ni watu wengi wanasema wameumwa hivyo kwa hizo siku unazosema wewe.
Hamna ni hali ya hewa tu kama upo Dar..maana mimi siku tatu zile za sikukuu ijumaa mpaka j3 nilikua hoi kimtindo full kukohoa, kichwa, mafua!! nilipiga dawa si mchezo..sahizi nimepona!!
Nimeona wengi wanaumwa Cold & flu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachonitisha ni Koo kupiga mluzi Kama gari yenye turbo.
Niliumwa kifua na mafua kwa wiki mbili, ilikuwa mwezi wa pili mwaka huu. Kifua kilikuwa kinabana hatari, mafua ndio usiseme mpaka leso moja ikawa haitoshi kwa kuloa makamasi nabidi niwe na mbili. Nilikomaa sijaenda hospitali, ikafikia hatua mpaka sauti imekauka.

Hapo nikaona sasa ubishi wangu wa kutotumia dawa niache, nikaenda kununua asali. Aisee pale pale nilipopewa nikailamba pale pale nikashangaa kifua kimepotea kabisa. Basi na usiku nikapiga tena kijiko kimoja nikajisikia fresh kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalili za CORONA ni hizi - Dry cough + sneeze + body pain + weakness + high fever + difficult breathing (Pathology department AIIMS, Delhi).

Dalili zako ni Neumonia
Hapo kwenye difficult breathing ni sababu ya koo la hewa au Pua kuziba na mafua maana mininavimafua kikiziba Pua hii kinaacha huku kikiacha huku kana ziba huku mala kanaachia kote...ni vimafua sio mafua.
 
Kama upo DAR piga simu uje uchukuliwe usiende hospitali yoyote, ndio utaratibu ametoa mkuu wa mkoa
 
Taulo unajifunikia wapi mkuu?,kiunoni,
Maana vipimo vya taulo vinafahamuka,
Labda useme blanketi
Kwani wewe ni obese? Taulo la kuogea ukichuchumaa linatosha. Haya basi tumia blanket.
 
Kama upo DAR piga simu uje uchukuliwe usiende hospitali yoyote, ndio utaratibu ametoa mkuu wa mkoa
Kwa utaratibu huu hakuna atayefanya ujinga, labda mtu uwende mwenyewe yaani uwite watu waje kukuchukua mtaa mzima unabaki story wewe kama mtuhumiwa is not good plan.
 
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.
Badala uende hospital upate tiba unang'ang'ania nyumbani ili uendelee kuambukiza watu wengi kwa makusudi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni rahisi kujitibu hata kama ni Covid-19. Tengeneza salt solution na Maji ya moto kunywa Mara tatu in 24 hours! Halafu endelea kunywa Maji ya moto yasiyo na chochote every half an hour for two days. The problem will be finished.
hata wazee itafaa.?

wenye magonjwa andamizi je.?
 
Hofu yako kubwa ni kuwa nyara ya serikali, hiyo hofu ni kubwa kwa kweli.
 
Back
Top Bottom