Kinachonitisha ni Koo kupiga mluzi Kama gari yenye turbo.
😳 😳😂😂Umenikumbusha ki clip flan cha Charlie Chaplin, alimeza firimbi ikakwama kwenye koo, kila akihema anatoa miluzi,
Kila aendapo mbwa wanamdandia wataka watembee na mdomo.
Ile clip ni burudani sanaa nikiiona
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .
Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .
Naomba ushauri naomba mniombee.
Chemsha majani ya mpera changanya na ya mlimao unywe yakiwa ya moto moto kisije kula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure hata mm ilinitokea nikaogopa sanaHamna ni hali ya hewa tu kama upo Dar..maana mimi siku tatu zile za sikukuu ijumaa mpaka j3 nilikua hoi kimtindo full kukohoa, kichwa, mafua!! nilipiga dawa si mchezo..sahizi nimepona!!
Nimeona wengi wanaumwa Cold & flu
Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize moshi wake ukiwa umejifunika taulo.
Wala usihangaike,Jua tu' mficha maradhi kifo humuumbua' na tena' mchuma Janga hula ba nduguze'Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .
Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .
Naomba ushauri naomba mniombee.
KACHEKI CORONA MKUU, una siku 14 za kukaa nayo na kujifariji. HAtutakutenga Boss kwa sababu leo kwako kesho kwetu.Hamna ni hali ya hewa tu kama upo Dar..maana mimi siku tatu zile za sikukuu ijumaa mpaka j3 nilikua hoi kimtindo full kukohoa, kichwa, mafua!! nilipiga dawa si mchezo..sahizi nimepona!!
Nimeona wengi wanaumwa Cold & flu
KACHEKI CORONA MKUU, una siku 14 za kukaa nayo na kujifariji. HAtutakutenga Boss kwa sababu leo kwako kesho kwetu.Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .
Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .
Naomba ushauri naomba mniombee.
Ni rahisi kujitibu hata kama ni Covid-19. Tengeneza salt solution na Maji ya moto kunywa Mara tatu in 24 hours! Halafu endelea kunywa Maji ya moto yasiyo na chochote every half an hour for two days. The problem will be finished.Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .
Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .
Naomba ushauri naomba mniombee.
Hii tiba tumeitumia miaka nenda rudi, na hasa mtu mwenye nimonia. Tunajua zaidi kuliko vitabu.
Taulo unajifunikia wapi mkuu?,kiunoni,Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize moshi wake ukiwa umejifunika taulo.
I wish you a happy death day in advance.
Nenda kapime la sivyo kama ni COVID 19 utaendelea kuwaambukiza wengineThis is serious I may die.
Dada sio kila mtu ana tauloKuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize moshi wake ukiwa umejifunika taulo.
Binzari ipi ile ya manjano au binzari nyembamba?Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize moshi wake ukiwa umejifunika taulo.