Majani ya ya mpera unazani kuyapata ni rahisi?Chemsha majani ya mpera changanya na ya mlimao unywe yakiwa ya moto moto kisije kula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nijuavyo manjano ndo hasa huongeza immunity
Dalili za CORONA ni hizi - Dry cough + sneeze + body pain + weakness + high fever + difficult breathing (Pathology department AIIMS, Delhi).Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .
Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .
Naomba ushauri naomba mniombee.
Hamna ni hali ya hewa tu kama upo Dar..maana mimi siku tatu zile za sikukuu ijumaa mpaka j3 nilikua hoi kimtindo full kukohoa, kichwa, mafua!! nilipiga dawa si mchezo..sahizi nimepona!!
Nimeona wengi wanaumwa Cold & flu
Niliumwa kifua na mafua kwa wiki mbili, ilikuwa mwezi wa pili mwaka huu. Kifua kilikuwa kinabana hatari, mafua ndio usiseme mpaka leso moja ikawa haitoshi kwa kuloa makamasi nabidi niwe na mbili. Nilikomaa sijaenda hospitali, ikafikia hatua mpaka sauti imekauka.Kinachonitisha ni Koo kupiga mluzi Kama gari yenye turbo.
Yes ni kweli nimeona kwa wengi,Ni hali ya hewa tu hakuna kingine!!Mwenyewe Jumanne nimeumwa kichwa na kuwashwa koo mpaka jana jioni ndo vimeacha. Sasa hivi ni koo kuwasha na kukohoa tu.
Na ni watu wengi wanasema wameumwa hivyo kwa hizo siku unazosema wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye difficult breathing ni sababu ya koo la hewa au Pua kuziba na mafua maana mininavimafua kikiziba Pua hii kinaacha huku kikiacha huku kana ziba huku mala kanaachia kote...ni vimafua sio mafua.Dalili za CORONA ni hizi - Dry cough + sneeze + body pain + weakness + high fever + difficult breathing (Pathology department AIIMS, Delhi).
Dalili zako ni Neumonia
Kwani wewe ni obese? Taulo la kuogea ukichuchumaa linatosha. Haya basi tumia blanket.Taulo unajifunikia wapi mkuu?,kiunoni,
Maana vipimo vya taulo vinafahamuka,
Labda useme blanketi
Kwa utaratibu huu hakuna atayefanya ujinga, labda mtu uwende mwenyewe yaani uwite watu waje kukuchukua mtaa mzima unabaki story wewe kama mtuhumiwa is not good plan.Kama upo DAR piga simu uje uchukuliwe usiende hospitali yoyote, ndio utaratibu ametoa mkuu wa mkoa
Badala uende hospital upate tiba unang'ang'ania nyumbani ili uendelee kuambukiza watu wengi kwa makusudi?Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .
Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .
Naomba ushauri naomba mniombee.
This is serious I may die.
Sasa hivi watu wanakula ndimu na malimao mpaka na wasipoangalia wanapata vidonda vya tumbo.Chemsha majani ya mpera changanya na ya mlimao unywe yakiwa ya moto moto kisije kula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
hata wazee itafaa.?Ni rahisi kujitibu hata kama ni Covid-19. Tengeneza salt solution na Maji ya moto kunywa Mara tatu in 24 hours! Halafu endelea kunywa Maji ya moto yasiyo na chochote every half an hour for two days. The problem will be finished.
Yapigeni pasi kabla ya kutumiaMabarakoa ya kichina yaliyoletwa kwa misaada ni jau sana yanakua na viruses