Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize mvuke wake ukiwa umejifunika taulo.
Jitayarishe kwa kifo chako kwa kuwa umekuwa unaipinga sana serikali ya awamu ya tano iliyowekwa na Mwenyezi Mungu. Sasa Mungu amekasirika lazima akuchinjie baharini mkuu. Pole sana!!This is serious I may die.
Usimdanganye! Huyu lazima imuondoe kwa kuwa amekuwa akimdharau sana Mwenyezi Mungu. Mpe pole ya mwisho mwisho dada!Kijana mdogo wewe huwezi kufa.. corona sio kama HIV.. HIV ukisha pata ujue imekushikia kisu kooni.. siku yoyote unaliwa kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
COVID-19 yenyewe ni severe pneumonia.Hii tiba tumeitumia miaka nenda rudi, na hasa mtu mwenye nimonia. Tunajua zaidi kuliko vitabu.
Upo karantini?Niko poa kamanda
Niko poa kamanda
Acha kutisha watuDalili za Corona hizo.. Maamuzi ni yako either kwenda kituo cha afya au kumalizika kimya kimya.. Muhimu usieneze tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp kamanda maendeleo?Hawajakupiga quarantine kweli?Acha kutisha watu