Ninawasiwasi kuna watumishi wameoa majini yanayowapa utajiri au wao ndio majini yenyewe

Ninawasiwasi kuna watumishi wameoa majini yanayowapa utajiri au wao ndio majini yenyewe

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Hivi karibuni wamejitokeza watumishi waliojaa kiburi mithili ya shetani mwenyewe.
Mtumishi anathubutu kusema ukiniwekea pesa hapa na mbingu nachagua pesa.
Kwamba amestuka mbinguni hakuna issue anaona itakuwa ni usumbufu tu hakuna kuoa,ni kuimba na kusifu tu!
 
Kuna mmoja alimwambia mtumishi mwenzake kuwa yuko tayari kuacha imani na aende kwa mganga wa kienyeji ili amkomoe mwenzake kama hataki kuachia tawi wanaloligombania
 
Wanao tuhubiria TU wenyewe hawataki kufa kabisa YANI utasikia daktari jitahidi apone sa unajiuliza Yale maisha mazuri ya KULE wao hawayataki? Hapa ni kumcha tu mungu kivyakovyako



Kwishaaaaaa
 
Back
Top Bottom