Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Umenikumbusha kuna Mzee mmoja wa Kiarabu ana Restaurant yake maeneo ya Chang'ombe Maduka Mawili alikua ana mwimbo wake akipenda sana kuuimba kwa wateja wake aliozoena nao, maneno ya wimbo yapo hivi;Mimi huwa sikopeshi walalahoi bali nasaidia tu
Njoo uchukue kiasi chochote cha pesa bure ila kisizidi Bilioni 1 mkuu
Ukitaka tende shukua
Ukitaka halua shukua
Ukitaka fedhwa shukua
Ukitaka dhahabu shukua
Halahala mukun.d.u. panua