Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Nazidi kuwa mvumilivu nikisubiri jibu wandugu!
Ninataka kusoma masters ya sociology pale Saut Mwanza-campus. Nimemaliza mwaka huu bachelor ya social work sina hata transcript mkononi. Je naweza pata admission pale kwa sasa? Je nina apply via TCU au chuoni penyewe?
Nakaribisha maoni yenu wandugu!
siku hizi pasco tumezidi kumchosha kwa vitu ambayo vipo wazi.
nimekupa web yao hapo juu ambayo ndani yake kuna contacts zao unaweza kuwasiliana nao wao wenyewe.
Mkuu Remote, asante kwa kulitambua hili?, tena nilidhani amenitag anataka kufanya masters ya journalism, kumbe sociology!, au alidhani labda na mimi nimesoma hapo, mimi ni wa UD!.siku hizi pasco tumezidi kumchosha kwa vitu ambayo vipo wazi.
nimekupa web yao hapo juu ambayo ndani yake kuna contacts zao unaweza kuwasiliana nao wao wenyewe.
kwa sasa sidhani mkuu masomo si yanaanza mwezi wakumi? na ukitembelea website yao walishatoa majina ya watu wa masters so labda ujipange kwa mwakani. ni hayo tu
Mkuu SAUT pesa yako hata kama wameshamaliza usahili jambo la msingi awe na uhakika wa fee basi watamkubalia.
kwa sasa sidhani mkuu masomo si yanaanza mwezi wakumi? na ukitembelea website yao walishatoa majina ya watu wa masters so labda ujipange kwa mwakani. ni hayo tu
Anaweza kuomba na kupata, hata kama masomo yameshaanza, ila usipite mwezi mzima baada ya masomo kuanza
hii ni kwa sauti tu au ni kwa vyuo vyote?