Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Ninataka kusoma masters ya sociology pale Saut Mwanza-campus. Nimemaliza mwaka huu bachelor ya social work sina hata transcript mkononi.
Je naweza pata admission pale kwa sasa? Je nina apply via TCU au chuoni penyewe?
Nakaribisha maoni yenu wandugu!
Je naweza pata admission pale kwa sasa? Je nina apply via TCU au chuoni penyewe?
Nakaribisha maoni yenu wandugu!