Kama unahitaji biashara hiyo unatakiwa kuna mambo ya msingi uyafaham usipoyafaham itakuletea changamoto baadae. Naomba nikuorodheshee machache hapa.
1.BEHIND.
Jambo La kwanza na muhimu ni kujua "Behind", hii hua ni kiwango cha gb unachopewa either kwa siku au kwa mwezi. Ukweli ni kwamba neno unlimited limekaa kibiashara tuu ila hua kuna kiwango cha gb ambacho mitandao inatoa so mtumiaji wa router akifikia kile kiwango akamaliza zile gb mtandao unashuka sana unakuta hadi mbps 1 au 2, hii kukonect hata watu wawili ni changamoto
2. JINSI YA KUMANAGE ROUTER YAKO WASITUMIE WASIOHUSIKA
ukweli mwingine ni kua watumiaji wengi wa router wanahisi password ndio kila kitu. Ukiwa unawaza hivo basi wewe huduma itakuwia ngumu mana kila siku utakuja kuona watu wameji connect na hukuwapa password na hata uki change password bado tatizo liko pale pale. Hii ni kwasababu kuna option ya ku share QR code pia kuna application mbali mbali zinazosaidia kujua wifi password. CHA MSINGI NI,kujua jinsi ya ki block MAC address hapo utakua umemaliza.
3. AINA ZA VIFAA, RANGE, USERS, TECNOLOGY, ISP WAKO, NA JINSI YA KU EXTEND RANGE
hayo yote ni mambo ya muhimu ya kufaham kabla huja chukua wifi. Ni bora ukapata ushauri wa bure ili ujue uanzie wapi. Mimi mtua kihitaji nampa maelekezo yote bure namfundisha kila kitu nampa na router yangu afanyie real research na kujifunza kabla hajatoa hela kununua kifaa na ni bure kwa walioko dar, morogoro, pwani tanga, na maeneo yote jirani na moro. Utani suport tu nauli ya kujia kama itakua ni eneo la mbali sana
Nicheki 0717700921