Sir Bujiku Official
Member
- Jan 9, 2025
- 9
- 13
Mkuu, mitandaoni huwa unajiita 'Official?'Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania.
Nina mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja, changamoto iliyopo huwa ninashindwa kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwangu.
Ninaomba usaidizi wa mambo gani nitakayoyazingatia kumtambua mwanamke anayenipenda kutoka moyoni mwake.
Wewe mwenyewe umeshindwa kuwa na mmoja unayempenda kutoka moyoni badala yake umewapanga foleni. Halafu unataka mwanamke akupende wewe kutoka moyoni wakati wewe moyo wako umeutapanya. My friend utapata wa kufanana nae.Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania.
Nina mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja, changamoto iliyopo huwa ninashindwa kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwangu.
Ninaomba usaidizi wa mambo gani nitakayoyazingatia kumtambua mwanamke anayenipenda kutoka moyoni mwake.
Akupe hela, akupe mapenzi, wewe ndio msemaji wake na sauti ya mwisho kwake ni yako . Ukisema No ni No.. ( atakutii ) maswali mengine badae baada ya kutii. Akubali wewe ndio CDF na yeye ni kuruta.. hapo 🐒🐒Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania.
Nina mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja, changamoto iliyopo huwa ninashindwa kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwangu.
Ninaomba usaidizi wa mambo gani nitakayoyazingatia kumtambua mwanamke anayenipenda kutoka moyoni mwake.
Mapenzi mara nyingi huwa ni kama kioo, wewe mwenyewe hujui yupi unampenda ndo maana upo wa wengi sasa unatarajia vp matokeo tofauti kutoka kwao.Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania.
Nina mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja, changamoto iliyopo huwa ninashindwa kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwangu.
Ninaomba usaidizi wa mambo gani nitakayoyazingatia kumtambua mwanamke anayenipenda kutoka moyoni mwake.
Ni ngumu. Itakuchukua maisha yako yote. Kiuhalisia, inatakiwa umiliki pesa kwa muda kiasi, uwe na ukwasi wa kutosha. hapo utapendwa, alafu kifuatie kipindi cha kupigika choka mbaya, kama miaka mitano au kumi, baada ya hapo uwe na ukwasi tena. Mchakato huo utakuchukua miaka kama 20 au 30 ndo utajua mwanamkeNawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania.
Nina mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja, changamoto iliyopo huwa ninashindwa kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwangu.
Ninaomba usaidizi wa mambo gani nitakayoyazingatia kumtambua mwanamke anayenipenda kutoka moyoni mwake.
mwanamke anaekupenda kwa dhati upendo usiopimika ni mama mzazi tu, wengine mkuu wanatupenda kwa kile tulichonacho/tulivyo tunakua nao ili maisha yasonge.Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania.