Ninawezaje kutumia JamiiCheck?

Ninawezaje kutumia JamiiCheck?

Ilhamu

New Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Jee ninawezaje kutumia Jamiicheck kuhakiki habari iliyonifukia?
 
Unapaswa kwenda kwenye Jukwaa hilo kisha ichapishe taarifa husika unayotaka kufahamu uhalisia wake. Team ya JF pamoja na sisi member wa kawaida tutashiriki kuithibitisha kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom