Ninayemdai pesa amenikomesha

Ninayemdai pesa amenikomesha

Passed

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
561
Reaction score
160
Baada ya kumdai hela yangu kwa mda mrefu bila mafanikio nikaamua kwenda kwa Mtendaji. Sasa kaniambia kwa hasira mbele ya Mtendaji kuwa hivi sasa hana ela atanipa mwezi wa kumi na moja.

Nimeumia sana juu ya haki yangu japo mtendaji amemwambia mwezi wa kumi na moja mbali ajaribu kunitafutia miezi hii ya karibuni
 
sasa kaniambia kwa hasira mbele ya mtendaji saizi hana ela atanipa mwezi wa kumi na moja
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hii nimeipenda msipende pende vyesi hali ni mbaya lazima kuvumiliana hongera kwa mkopaji mwenzangu tena ingekua mimi ningesema mwezi wa 12 ndo nitaanza kukulipa kidogo kidogo.
 
Uende kwa kiburi hela ni yako lazima unyenyekevu
 
Back
Top Bottom