Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Ahaa kumbe!! Hapo nimeelewa!! MieAmeileta story kwa niaba ya.......
Kwa nilivyomuelewa mimi, nakusabahi Antonia
Nipo njema sana Mbalizi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa kumbe!! Hapo nimeelewa!! MieAmeileta story kwa niaba ya.......
Kwa nilivyomuelewa mimi, nakusabahi Antonia
[emoji120][emoji120]Ahaa kumbe!! Hapo nimeelewa!! Mie
Nipo njema sana Mbalizi!
Mr George ni ke [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]??
Makubwa haya!
Hili povu lote si bure, kama si msongo wa mawazo unaokuchanganya kiakili kuhusu Me basi dishi lako litakuwa limeyumba mahali (utani) [emoji28]Manaume bana ni madhaifu sana ya mnoo!! hata mtoto wake wa kumzaa asimkalie hovyo hasa kama binti ana fanana na Mke wake.....wakishaona wanakuwaga vichaaa!! ni wadhaifu sijapata kuona...
kISA cha ADAMU na SAMASON kinadhihirisha wazi mpaka leo kuhusu tamuuu! hawa walijua lile ni kosa lkn kwa kuona pipi tamuuu! walilegeaaaaaaa!!..wewe pipi unayo!! unakuja kulia humu!! ipe kazi ufurahie
hakuna cha kusema limbwata wala nini........wewe fikiria bonge la handsome anamzalisha kichaa/muokota makopo kabisaaa!! yaani wale hata mbuzi, punda na mateke yake, kwenye miti ni mapenzi tu!
sasa weye mwenzangu na mie ungetamka tu heee!! ungeona moto wake!...hawezi kukataa na weye mwanamke unaye pitia hapa ujue Midume hii tumeitawala anga zooote!
hayawezi kukataa haya majitu!! uongo nyie ''me'' pamoja na mijimisuri yao hiyo!! tunaimiliki sisi!! lazima wao waishi na sisi kwa akili!! hatukuagizwa sisi tuishi nao kwa akili!! kwa nini akusumbue huyo mbuzi wa kafara!
anakufanya kafara ivo km weye si mwanamke?? yeye ndo wa kafara kamata kitu fanya utakavyo hata sasa km bado moyo wako uko pale nenda kamata kitu hakitakuponyoka! wkt un sumaku-ulimbo hapo chini!
Pipi bana usicheze na pipi hta baba yako mzazi akiwa kijana labda awe mgonjwa/mzee hapo sawa lkn anakula anashiba afya tele mwee!!!eee!!!........
usimlengeshe eti sijui mnaogelea homu swimmingi pool! Daddyyy! utalaumiwa sanaaaaa! ukose pa kutokea!
[emoji23][emoji23] udomo zege daaa wee achaa tyuHi inaitwa usikae na Jambo rohoni Seema ukweli bila kujali atajiskiaje.
Kingine kiburi au mazoea ya kusubiri uanzwe yamewagharimu wengi.
Frequency hazikamati kwa dishi lisioo lake kamwee[emoji41]
Hamna lolote bana weee!!! hivi fikiria tu......yule jamaa na minyota yooote ile! Rais mkapa alikuwa anaongea nae kama mtoto wake wa kumzaa!....lkn cha kufurahisha alikuwa anamnyatia house girl !! Mama Rama.Hili povu lote si bure, kama si msongo wa mawazo
Bado BK huyokwa io ni bikra au
Hamna lolote bana weee!!! hivi fikiria tu......yule jamaa na minyota yooote ile! Rais mkapa alikuwa anaongea nae kama mtoto wake wa kumzaa!....lkn cha kufurahisha alikuwa anamnyatia house girl !! Mama Rama.
haya bisha tuone??...Mdogo wenu kawa mkubwa siku hizi ana Masters ya Polisi....halafu pale bana huwezi chomoa na zee hhakuchomoa kweli! kimyaaaa mpaka leo!?
wajameni hivi me kweli mna akili nyie??........weye ndo unapovu huenda sasa hivi unatoka nyatia house girl wenu!..halafu mkiambiwa ukweli mnasema povu wkt nyie ndo mabingwa w kunyatia!
😀😀😀Mtoto wa miaka 19 anifanye nicomment kweli, Hapana [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Habari yenyewe ndio hiyoKwani habari yenyewe inasemaje