Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
- Thread starter
-
- #21
kwani kakuomba uwe spea tairi?:biggrin1:
Kwani ni nani? Inabidi umtaje ili maswali yetu yapate majibu.kwa vile tulikuwa tunahisi ni MMK au NU.Nadhani ukimtaja itakuwa vizuri sana(hata invizibo atakusamehe kosa la name calling)
Niko njia panda sijui nifanyeje.....
ha ha ha!Kumtaja itakuwa ngumu....siwezi kufanya hivyo!
Haaahaaa! Kwani kupenda kunaisha baada ya kumpata baba watoto au mama watoto? I thought as we become mature we learn to control ourselvesHuu moyo wa kupenda ni tatizo hasa ukipenda pale usipopendwa...najaribu kukumbuka kipindi kileeeeeeeeeeee..duh hata nisiseme baba watoto asije ninunia bure ingawa ni past.
ha ha ha!
ni bora kabisa usinitaje...
maanake humu ndani nina wanawake wengi sana....
utasababisha watu watwangane ngumi ON-LINE....
fl1 upo?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Afadhali amekuambia mapema kuwa nafasi imejaa. Je ungekuja kujua baadaye kuwa wewe ni spea tairi ungefanyeje? Tii wito wake, endelea kumpenda kama nilivyokushauri huko juu.Hapana,nilikuwa namjibu Kyachakiche..Aliniuliza uko tayari kuwa spea tairi?
Mie sina mtu, jaribu kunipenda wala hutaumia, na ukiniambi sitokukatalia nitakupenda daimaTatizo nampenda lakini siko tayari kuwa tairi la spea....
Mie sina mtu, jaribu kunipenda wala hutaumia, na ukiniambi sitokukatalia nitakupenda daima
ha ha ha ha!hahahaha Teamo mie niende wapi nasubiri tu GS ataje iwe kasheshe ..Teamo si unajua shemeji yako yuko hapahapa labda alishawahi kumtupia ndogo ndogo GS,,nadhani invisible itabidi akae tayari kwa Ban.
Hivi inawezekana ni wewe Teamo:A S-devil1:
jamani mapenzi jamani, kweli nimeamini mpende akupendae (wimbo wa TOT naupenda sana maana umelenga ukweli kabisa), lakini nami nilikuwa nampenda ila kumweleza nilishindwa, now its my chance to be with herJeez yaani kirahisi namna hii???:biggrin1:
ha ha ha ha!
mi si mwanaume tu kama wengine mama....
hapo kwenye bold na underline hapo.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
YANINI MALUMBANO MAMA!......
kumbe ni wewe? mzee wa kudumisha mila.ha ha ha!
ni bora kabisa usinitaje...
maanake humu ndani nina wanawake wengi sana....
utasababisha watu watwangane ngumi ON-LINE....
fl1 upo?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
ha ha ha ha habari ndo hiyo Teamo ..GS twende PM unambie ni nani :biggrin1: