Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Status
Not open for further replies.
na sehemu kama hizi zinakuwaga na uwongo sana, anakwambia nipo single kumbe kajaza lorry, bora huyu amekuwa mkweli kwako.
 
Kwani ni nani? Inabidi umtaje ili maswali yetu yapate majibu.kwa vile tulikuwa tunahisi ni MMK au NU.Nadhani ukimtaja itakuwa vizuri sana(hata invizibo atakusamehe kosa la name calling)

Kumtaja itakuwa ngumu....siwezi kufanya hivyo!
 
Niko njia panda sijui nifanyeje.....

Unaweza kumuweka kwenye 'Ignore List' yako! Labda utapata ahuweni.

Btw: Hivi GS wewe ni 'she' au 'he'? Maana kama ni 'he' nilitegemea ungekuwa umeshazoea 'kutolewa nje' na hii ya sasa isingekuwa 'inshu'!
 
Jipe moyo utayashinda mwanzo huwa ni mgumu. Jaribu kuwa nae mbali na uwe busy na mambo mengine my dia!! sio mwisho wa dunia
 
Huu moyo wa kupenda ni tatizo hasa ukipenda pale usipopendwa...najaribu kukumbuka kipindi kileeeeeeeeeeee..duh hata nisiseme baba watoto asije ninunia bure ingawa ni past.
 
Kumtaja itakuwa ngumu....siwezi kufanya hivyo!
ha ha ha!
ni bora kabisa usinitaje...
maanake humu ndani nina wanawake wengi sana....
utasababisha watu watwangane ngumi ON-LINE....

fl1 upo?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Huu moyo wa kupenda ni tatizo hasa ukipenda pale usipopendwa...najaribu kukumbuka kipindi kileeeeeeeeeeee..duh hata nisiseme baba watoto asije ninunia bure ingawa ni past.
Haaahaaa! Kwani kupenda kunaisha baada ya kumpata baba watoto au mama watoto? I thought as we become mature we learn to control ourselves
 
ha ha ha!
ni bora kabisa usinitaje...
maanake humu ndani nina wanawake wengi sana....
utasababisha watu watwangane ngumi ON-LINE....

fl1 upo?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

hahahaha Teamo mie niende wapi nasubiri tu GS ataje iwe kasheshe ..Teamo si unajua shemeji yako yuko hapahapa labda alishawahi kumtupia ndogo ndogo GS,,nadhani invisible itabidi akae tayari kwa Ban.
Hivi inawezekana ni wewe Teamo:A S-devil1:
 
Hapana,nilikuwa namjibu Kyachakiche..Aliniuliza uko tayari kuwa spea tairi?
Afadhali amekuambia mapema kuwa nafasi imejaa. Je ungekuja kujua baadaye kuwa wewe ni spea tairi ungefanyeje? Tii wito wake, endelea kumpenda kama nilivyokushauri huko juu.
 
hahahaha Teamo mie niende wapi nasubiri tu GS ataje iwe kasheshe ..Teamo si unajua shemeji yako yuko hapahapa labda alishawahi kumtupia ndogo ndogo GS,,nadhani invisible itabidi akae tayari kwa Ban.
Hivi inawezekana ni wewe Teamo:A S-devil1:
ha ha ha ha!
mi si mwanaume tu kama wengine mama....

hapo kwenye bold na underline hapo.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
GS this is a very normal thing.
ila lakini. huyu m2 ambaye humjui ulimpendea nini hasa?
Kulingana na michango yake hapa JF ama?
Distance love sio nzuuri sana GS.
Kuna shostito wangu mmoja alimpenda jamaaa mmoja online.
wakawa wanachat for months. siku ya siku jamaa akaamua kufunga
safari from south Africa kuja TZ. Shosti bila hiana akampokea Gheto kwake.
yaani yule jamaa alikua na mambo mengi sana ya ajabu ajabu! I even cant
put them in writing.
Just stay calm GS and the right man is just on the corner coming.

Cheerz guys.
 
Pole sana GS, just try too keep your mind busy with some others things (not him/her). i blv u gonna 4get everything abt him/her, thank God that she/he has been honest not to waste your time ni wachache sana wa taipu hiyo nowadays. Be strong n keep on moving buddy!!!
 
Jeez yaani kirahisi namna hii???:biggrin1:
jamani mapenzi jamani, kweli nimeamini mpende akupendae (wimbo wa TOT naupenda sana maana umelenga ukweli kabisa), lakini nami nilikuwa nampenda ila kumweleza nilishindwa, now its my chance to be with her

Vita ya panzi jamaniiiii..........................
 
ha ha ha ha!
mi si mwanaume tu kama wengine mama....

hapo kwenye bold na underline hapo.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

ha ha ha ha habari ndo hiyo Teamo ..GS twende PM unambie ni nani :biggrin1:
 
ha ha ha!
ni bora kabisa usinitaje...
maanake humu ndani nina wanawake wengi sana....
utasababisha watu watwangane ngumi ON-LINE....

fl1 upo?:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
kumbe ni wewe? mzee wa kudumisha mila.
lakini..........Kule kwenye sihasa na uchumi mbona ni kama kituoa cha polisi kwako?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom