Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
how to read between the lines....
shemeji yetu mkubwa??????
na kuna wadogo sio???????
shemeji zetu wapo wangapi???????????
Kweli Da Womanizer hujawahi kukutwa na hali kama hizi za kumpenda mtu asiyekupenda na wala yeye hana Idea.Unaweza kudhani ni Muvi yani ni ngumu/aibu hata kusimulia wakati mwingine.Hivyo usiseme ni full usanii,you never know............JF tamu sana. yaani full usanii ila poa tu hizi fabricated stories zinasaidia sana kupitisha muda ofisini.
Kweli Da Womanizer hujawahi kukutwa na hali kama hizi za kumpenda mtu asiyekupenda na wala yeye hana Idea.Unaweza kudhani ni Muvi yani ni ngumu/aibu hata kusimulia wakati mwingine.Hivyo usiseme ni full usanii,you never know............
so far so good......!
ikawa jioni IKAWA ASUBUHI.....!
GOODMORNING LADIES AND GENTLEMEN
it was really good!....Good morning dear, how was your night!
why do i get this feeling that
huyo mtu ni mwanakijiji?????????
kuna baridi kweli wakati unae wa ubani?it was really good!....
kuna baridi sana siku hizi
hehehe!kuna baridi kweli wakati unae wa ubani?
Pole sana GS, yawezekana huyo mtu anakupenda vile vile lakini kutokana na kukupenda hakutaka akuumize kwa kukupa tumaini lisilokuwepo. Labda katika maisha mengine mngeweza kuwa beneti. Ila kwa vile wahenga walisema dunia ni duara, huwezi kujua mbeleni kuna nini.
Nampenda sasa kwa hiyo najikuta napata ugumu kusonga mbele
so far so good......!
ikawa jioni IKAWA ASUBUHI.....!
GOODMORNING LADIES AND GENTLEMEN
Good morning dear, how was your night!
it was really good!....
kuna baridi sana siku hizi
kuna baridi kweli wakati unae wa ubani?
siku ya sita hiyo....Siku ya ngapi mpwa? LOL
Nampenda sasa kwa hiyo najikuta napata ugumu kusonga mbele
Njoo kwenye maombi... :israel:😛ray:
we umeshalaaniwa!baba Askofu.....mbona maombi yangu bado tu jamani....:dance:
siku ya sita hiyo....
''na tumfanye mtu kwa mfano wetu....''
LET US MAKE MAN IN OUR LIKENESS
it was really good!....
kuna baridi sana siku hizi