Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Status
Not open for further replies.
how to read between the lines....
shemeji yetu mkubwa??????
na kuna wadogo sio???????
shemeji zetu wapo wangapi???????????

well.. it will be very hard to explain.. ni sawa na "kulikuwa na baba wawili na watoto wawili, walikuwepo watu wangapi"?
 
so far so good......!
ikawa jioni IKAWA ASUBUHI.....!
GOODMORNING LADIES AND GENTLEMEN
 
JF tamu sana. yaani full usanii ila poa tu hizi fabricated stories zinasaidia sana kupitisha muda ofisini.
Kweli Da Womanizer hujawahi kukutwa na hali kama hizi za kumpenda mtu asiyekupenda na wala yeye hana Idea.Unaweza kudhani ni Muvi yani ni ngumu/aibu hata kusimulia wakati mwingine.Hivyo usiseme ni full usanii,you never know............
 
Kweli Da Womanizer hujawahi kukutwa na hali kama hizi za kumpenda mtu asiyekupenda na wala yeye hana Idea.Unaweza kudhani ni Muvi yani ni ngumu/aibu hata kusimulia wakati mwingine.Hivyo usiseme ni full usanii,you never know............


Hii kitu inawezekana sana hapa Chini ya jua ..kupenda kuna kazi..ndio maana watu wanapenda Avatar ,wengine wanapenda maandishi ya mtu,mwingine Nk Nk.. haya mapenzi sijui yanaitwaje...:dance:
 
hii mada bado inaendelea tu? tulipaswa tumuachie tena huyu mdada wa watu auguze majeraha ya loveria. kilichonisikitisha : signature yake inaonesha ni MGOMBEA UBUNGE . maskini mgombea wetu!
ee muumba wa mbingu na nchi bado tunamuhitaji huyu mgombea ,mpe nguvu katika kipindi hiki muhimu cha kampeni (tusemeni amen)
 
Pole sana GS, yawezekana huyo mtu anakupenda vile vile lakini kutokana na kukupenda hakutaka akuumize kwa kukupa tumaini lisilokuwepo. Labda katika maisha mengine mngeweza kuwa beneti. Ila kwa vile wahenga walisema dunia ni duara, huwezi kujua mbeleni kuna nini.

Do you think hili linawezekana wakati nampenda jamaa na sidhani kama stori zingine zitakuwa zinaenda vizuri...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom