Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Status
Not open for further replies.
Wapwaz na Binamuzi wote.

Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya kumwambia..Nilikuwa nachat naye mara nyingi,kila akiwa hewani nilikuwa siachi kumsalimia na kuzungumza naye mawili matatu,kifupi ni mtu pekee humu JF niliyemzoea sana na kuweza kumwambia chochote kinachonihusu bila kumficha.Na katika kumzoea huku kukanifanya nizidi kumpenda.Baada ya kuzoeana naye Nilijikaza nikamwambia ukweli,jamaa akachomoa,nikaendelea kuvumilia na kuendelea kumsisitiza,hivi karibuni ameniambia ana mtu,nimeumia sana kwani nilkuwa najifariji huenda akawa hana mtu...Kifupi ni kwamba kanitolea nje..Nampenda..Niko njia panda sijui nifanyeje.....

Wenu katika majonzi
Gender Sensitive....

Wakati mwingine Mungu hakupi kila unachohitaji, na huwa na sababu njema kwa hilo... kubali matokeo... wakati utafika na atapatikana mwengine aliewekwa kwa ajiliyo...hongera kwa ujasiri wa kuonesha nia njema kwake.. na hongera kwake kwa kuwa mkweli!!:A S-rose:
 
ulitaka kuivaa kwenye kitchen party??
oops sorry send off party???
pole mwaya k..........kwenu hamana wale wanapita na vibaiskeli na spika za ......'sumu ya panya mende sisimizi, kunguuuuuuuuuuuuuuuuuuni, sumu ya panya.......'

hehehe ni suti yangu ya kutangazia nia, nataka kutangaza nia jimbo lao FESTILEDI1, sera yangu : nitahakikisha kinamama wote jimboni wanapata vitenge chapa ya nyerere. (sori jenda sensitiv for zis ofu topik)
 
GS I know what you're going through trust me. I was in the same situation like yours some 10 years back, loving someone so deeply and when I opened up to her gently she turned me down. To make the story short I came to find the love of my life to the woman I hardly know and now enjoy life to the fullest. So take it easy.
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
Sasa mama!imekuwaje umeamua kunianzishia sredi?!
Mi nilikwambia kwamba katika umri wangu huu wa miaka 38,sio rahisi kwamba nikakosa kuwa na mtu!....

Yanini malumbano mama!......

kwa mawazo yangu,ukiwa kama mwanamme mwenzangu,hukustahili kuandika haya labda kama sijakuelewa.halafu kila mtu ana uhuru wa kuanzisha thread yoyote mradi havunji sheria za jf
 
Wapwaz na Binamuzi wote.

Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya kumwambia..Nilikuwa nachat naye mara nyingi,kila akiwa hewani nilikuwa siachi kumsalimia na kuzungumza naye mawili matatu,kifupi ni mtu pekee humu JF niliyemzoea sana na kuweza kumwambia chochote kinachonihusu bila kumficha.Na katika kumzoea huku kukanifanya nizidi kumpenda.Baada ya kuzoeana naye Nilijikaza nikamwambia ukweli,jamaa akachomoa,nikaendelea kuvumilia na kuendelea kumsisitiza,hivi karibuni ameniambia ana mtu,nimeumia sana kwani nilkuwa najifariji huenda akawa hana mtu...Kifupi ni kwamba kanitolea nje..Nampenda..Niko njia panda sijui nifanyeje.....

Wenu katika majonzi
Gender Sensitive....

...hivi kwanini mkishampenda mtu huwa mnajipa moyo "hana mtu?"
anyway, pole sana kwa masahiba yaliyokukuta. Aheri yako umeambiwa ukweli kuliko huko mbele ya safari ukaja gundua alikudanganya 'hana mtu'
 
hii habari ya kumpenda mtu kwa michango yake JF haijanikalia sawa..................nafikiri ulipojiweka katika hali hiyo ulikuwa unajitafutia matatizo kama hayo ya heartache.

ulisema mtu hakai nchi moja na wewe...........ina maana humjui kihivyo......hebu siku ya pili tu avoid mapenzi ya kwenye screen tu jamani

kwa sasa kumkalia mbali nafikiri litakuwa jambo la busara zadi.
 
Nawashukuru wote mlionitia moyo na kunifariji.Kuna wengine mmenichekesha sana hasa Nguli eti hata angekuwa yeye angesema no kwa kuwa jinsi yangu haileweki.Napenda kukwambia Nguli kama wewe hujui jinsia yangu basi ni wewe lakini mhusika niliyempenda ananifahamu vizuri tu sio jinsia tu mpaka jina halisi,kabila,hobbies,jinsi nilivyo na mazagazaga mengine.

Charity pole kwa kuachwa kama unamaanisha..Pole sana na ndio dunia nadhani tuanzishe chama cha masingo hapa JF..

bht.Kwanini unamsema Xpin eti ooh nilijua tu kama utachangia,mwache achangie acha hizo,we mbona umechangia..

Wale wote kama vile Nyamayao na wengineo waliosema nimshukuru Mungu kwa kuwa ameniambia ukweli kuwa ana mtu,kwa kweli namshukuru sana na nampongeza sana,ni mfano wa kuigwa.

SMU kanishauri nimuweke kwenye ignore list hiyo siwezi kamwe kwa kuwa nitakosa kujifunza mambo mengi toka kwake,sina sababu ya kufanya hivyo kwani hata niifanya pia haitanisaidia yupo moyoni yupo tu..

Teamo anajimegemea kwamba nido yeye,mmh sijui labda inawezekana maana watu wengine wanamajina kumi kumi humu...may be lakini Charity kajibu vizuri kwamba kule ni kituo cha polisi ingawa pia unaweza kuwa ni mkakati pia.

FL1 anadai niPM ili nimtajie jamaa,simtaji ng'o urafiki usije ukafa bure wakati mwenzio nishapigwa kibuti.

Gudboy,nimekupata na nimekuelewa sana...

Angalizo mambo ya kutoka nje ya mada wala sio mazuri.Toeni ushauri..
 
MAWAZO YANGU.
1.SINA SHAKA ILE THREAD YA KWANZA ULIIANDIKA KWA UMAKINI MKUBWA UKIWA UMETULIA KABISA.
2.KWA VYOVYOTE VILE ULIPANGA KUWA UNGELETA TAARIFA KAMA UNGEFANIKIWA AU LA.
3.MAANA YAKE NI KUWA THREAD ILE ILIKUWA PART 1 NA SASA PART 2
Mhhhhhhhh,KIKUBWA ZAIDI, UJUMBE UMEFIKA...........Nadhani unavyoona watu wanavyochangia unaelewa fika jinsi gani ujumbe wako umewafikia WANA JF: Lakini moja ya vipengele vya ujumbe huo ni:
1.Ni vema kutoa maendeleo/matokeo ya thread zetu zilizotangulia,Mfano kuna mwenzetu mmoja hapa JF alitangaza ataoa mwezi wa saba kule Tanga,.....hadi leo KIMYA.
2.Kuna kupenda,kukataliwa,kukubaliwa,kuwa muwazi na kujaribu kumpata umpendae, hapa pia ujumbe umefika
HAYA NDIO MAWAZO NA MCHANGO WANGU MKUU.
 
Wapwaz na Binamuzi wote.

Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya kumwambia..Nilikuwa nachat naye mara nyingi,kila akiwa hewani nilikuwa siachi kumsalimia na kuzungumza naye mawili matatu,kifupi ni mtu pekee humu JF niliyemzoea sana na kuweza kumwambia chochote kinachonihusu bila kumficha.Na katika kumzoea huku kukanifanya nizidi kumpenda.Baada ya kuzoeana naye Nilijikaza nikamwambia ukweli,jamaa akachomoa,nikaendelea kuvumilia na kuendelea kumsisitiza,hivi karibuni ameniambia ana mtu,nimeumia sana kwani nilkuwa najifariji huenda akawa hana mtu...Kifupi ni kwamba kanitolea nje..Nampenda..Niko njia panda sijui nifanyeje.....

Wenu katika majonzi
Gender Sensitive....

Pole sana GS, yawezekana huyo mtu anakupenda vile vile lakini kutokana na kukupenda hakutaka akuumize kwa kukupa tumaini lisilokuwepo. Labda katika maisha mengine mngeweza kuwa beneti. Ila kwa vile wahenga walisema dunia ni duara, huwezi kujua mbeleni kuna nini.
 
hii habari ya kumpenda mtu kwa michango yake JF haijanikalia sawa..................nafikiri ulipojiweka katika hali hiyo ulikuwa unajitafutia matatizo kama hayo ya heartache.

ulisema mtu hakai nchi moja na wewe...........ina maana humjui kihivyo......hebu siku ya pili tu avoid mapenzi ya kwenye screen tu jamani

kwa sasa kumkalia mbali nafikiri litakuwa jambo la busara zadi.

Gaijin mapenzi hutokea popote na wakati wowote kama mwenzetu hayajakukuta haya ya kwenye screen kama wewe unavyodai basi mshukuru MUNGU..Wenzanko hatukuamua iwe hivyo imetokea tu kama ajali..Dunia ina mambo yake..Sio wote tunaoenda kwenye line moja kila mmoja akija hapa na kuhadithia jinsi alivyompata mwandani wake utapigwa na butwaa..Tembea au kua uyaone.
 
GS ........mapenzi si kama jipu .....lkn acha nikupe pole kwa kupenda kwenye screen
 
why do i get this feeling that
huyo mtu ni mwanakijiji?????????
 
why do i get this feeling that
huyo mtu ni mwanakijiji?????????

duh mnaning'ang'ania hivyo toka mwanzo na kunipa ujiko hata usio kuwa wangu! Mkimkimbiza shemeji/wifi yenu mkubwa ntawafuata mmoja mmoja kama carlos the jackal..
 
duh mnaning'ang'ania hivyo toka mwanzo na kunipa ujiko hata usio kuwa wangu! Mkimkimbiza shemeji/wifi yenu mkubwa ntawafuata mmoja mmoja kama carlos the jackal..

how to read between the lines....
shemeji yetu mkubwa??????
na kuna wadogo sio???????
shemeji zetu wapo wangapi???????????
 
JF tamu sana. yaani full usanii ila poa tu hizi fabricated stories zinasaidia sana kupitisha muda ofisini.
 
Hapa leo Great Thinkers wanadiskasi nini?
 
JF tamu sana. yaani full usanii ila poa tu hizi fabricated stories zinasaidia sana kupitisha muda ofisini.

So now you know huh? Hahahahahaaaa...ndio maana nasemaga mara kwa mara hapa kijiweni...tunakutana tunakunywa ghahawa na kula kashata na ufuta halafu hao..tunatimka kurudi kwenye miji yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom