Ninayo sababu kupinga mpangiliao wa Tahasusi mpya Kidato cha tano na sita

unadhani ati hawajui 🐒

ni mihemko tu na mazoea ya kulalamika hata kwa kitu ambacho kilikuwepo na kinafanyika mpaka wa leo 🐒

just kulalamika..
 
Yalikuwa ni masomo ya ziada ambayo ni optional, hata hayakuwa na walimu rasmi walioajiriwa na serikali kuyafundisha.

Vyuo vya umma kuna Philosophy and religious studies, hakuna Islamic studies au divinity kama degree rasmi labda kama wameongezea na huko.
 
Je hizo matokeo ya dini Yana Saidia division zero au having saidi, na masomo yako ya baadae yatachukua matokeo ya dini .
 
Watu wanadanganywa sana kupitia manabii na mitume feki Wacha watu wafundishwe dini deep!
Mapadri wamezama kwenyedini yet wanamiradi mizuuri kuliko walosomea...
Tunakosa kuelewa mzuri kwenye dini tulizoletewa na shetani anapitia humo kujiinua binafsi naunga mkono tahasusi za dini asilimia mia
 
Ninakuunga mkono kwa asilimia mia. Serikali haina chochote kwenye imani na ni kinyume na kifungu cha 19(2) cha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Serikali haitakiwi kuingilia kwenye kueneza dini ikiwa ni pamoja na kufundisha dini kama somo kwa gharama za wapiga kura wenye dini na wasio kua na dini.
 
Huwez shindana na muda,muda ndo unaleta mabadiliko then hata ukiitwa mezan ukaambiwa useme hilojambo linaathir vip maendeleo ya mtu mmoja moja utakuwa huna hoja yeyote au inathiri vip life ya watu negatively utajikuta huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…