Shida ni kuwa hakuna benki itakayompa mkopo ilhali ana mkopo benki nyingine zaidi ya mbili......labda achukue pesa za vicoba,saccos,kule kwao cwt,na mikopo nyonya damu mingiPole sana mwalimu, walimu wamekuwa wakipitia changamoto hizi yote hii ni kukubali kuwa mwalimu
nakushauri chukua mikopo benki 5 tofauti kusanya million 40 halafu tokomea kwenye biashara
utakuja kunishukuru
ACHANA NA UALIMU
Kuna athari gani endapo ukipeleka kopi za hizo nyaraka?Habari walimu wenzangu, najua mpo. Mimi nilifuatilia uhamisho direct mwenyew Tamisemi kwa Katibu Mkuu kutokana na changamoto za maradhi.
Nilitumia vyeti vya hospitali kumuomba Katibu Mkuu hatimaye akanipa kibali, sasa huku halmashauri kwangu Afisa Utumishi amegoma kunifungia data kuwa mpaka nilete nyaraka nilizotumia kuomba uhamisho Tamisemi.
Nifanyaje wadau?
Miwalimu ni mizuzu sanaKuna athari gani endapo ukipeleka kopi za hizo nyaraka?
Hilo ni jambo dogo sana, nenda kwa mzee wa Upako pale Ubungo na kesho yake utakuwa mtu mwenye furaha.Habari walimu wenzangu, najua mpo. Mimi nilifuatilia uhamisho direct mwenyew Tamisemi kwa Katibu Mkuu kutokana na changamoto za maradhi.
Nilitumia vyeti vya hospitali kumuomba Katibu Mkuu hatimaye akanipa kibali, sasa huku halmashauri kwangu Afisa Utumishi amegoma kunifungia data kuwa mpaka nilete nyaraka nilizotumia kuomba uhamisho Tamisemi.
Nifanyaje wadau?
Labda anaumwa magonjwa makubwa makubwa, hivyo anaona aibu afisa utumishi kujua magonjwa yake asije kumtangaza hapo halmashaurini.Kuna athari gani endapo ukipeleka kopi za hizo nyaraka?
Hilo haliwezekani. Kumbuka barua inaanzia Kwa mkuu wa kituo, naye atakubali kubackdate?Kuna Dada mmoja kapata barua toka tamisemi na wanakataa kufunga data sheet mana wamerejea kwenye file hawaoni mchakato wowote wa kuomba uhamisho.Nakushauri andika barua ya kuomba weka tarehe za zamani mhonge masijala akachomeke afu muone mkurugenzi
Huu ndo ushauri, au amtafute mtu anayemmudu huyo HR ambembeleze aongee nae.Pole sana
Kiutumishi HRO ana haki ya kufahamu ulipataje kibali cha uhamisho.
Punguza kutunisha misuli nahisi ndiyo ugomvi uliopo baina yako na huyo Hro wako.
Ila HRO wengi wa halmashauri zetu ni Incompetent so kuwa mpole muombe akusaidie tu
Tatizo siyo kummudu! afuate utaratibuHuu ndo ushauri, au amtafute mtu anayemmudu huyo HR ambembeleze aongee nae.
Kulikuwa na haja ya kutukana wewe mpuuzi?...Miwalimu ni mizuzu sa