Ninazuiwa kupata uhamisho kazini, nifanye nini?

Sasa hizo nyaraka siunazo ulizoombea tamisemi peleka ,au nyaraka zako ilikua Milion 1 ,umewapa chumba namba 18 chini ya yule bint mwenyejina linazia L....... Haiwezekani uwe na nyaraka za maradhi halmashauri haijui
 
Habari walimu wenzangu, najua mpo. Mimi nilifuatilia uhamisho direct mwenyew Tamisemi kwa Katibu Mkuu kutokana na changamoto za maradhi.

Nilitumia vyeti vya hospitali kumuomba Katibu Mkuu hatimaye akanipa kibali, sasa huku halmashauri kwangu Afisa Utumishi amegoma kunifungia data kuwa mpaka nilete nyaraka nilizotumia kuomba uhamisho Tamisemi.

Nifanyaje wadau?
Nenda mahakama ya kazi mikoani na uthibitisho toka tamisemi,umshtaki AFISA utumishi,utashughulikiwa fasta!!!
 
Habari walimu wenzangu, najua mpo. Mimi nilifuatilia uhamisho direct mwenyew Tamisemi kwa Katibu Mkuu kutokana na changamoto za maradhi.

Nilitumia vyeti vya hospitali kumuomba Katibu Mkuu hatimaye akanipa kibali, sasa huku halmashauri kwangu Afisa Utumishi amegoma kunifungia data kuwa mpaka nilete nyaraka nilizotumia kuomba uhamisho Tamisemi.

Nifanyaje wadau?
Kwa hiyo ulimruka ukaona uende direct kwa katibu mkuu bila kupitia kwake?

Kikazi utaratibu uko hivyo? Kwa nini hupitishia barua na nyaraka kwake ili yeye aziforward kwa katibu mkuu?
 
Habari walimu wenzangu, najua mpo. Mimi nilifuatilia uhamisho direct mwenyew Tamisemi kwa Katibu Mkuu kutokana na changamoto za maradhi.

Nilitumia vyeti vya hospitali kumuomba Katibu Mkuu hatimaye akanipa kibali, sasa huku halmashauri kwangu Afisa Utumishi amegoma kunifungia data kuwa mpaka nilete nyaraka nilizotumia kuomba uhamisho Tamisemi.

Nifanyaje wadau?
Sijawahi ona uhamisho kama huo labda kama sio uhamisho wa kuomba.Utaratibu ulitakiwa uandike barua kwenda Halmashauri unayotaka kuhamia ili kuomba nafasi kupitia mkuu wa shule,Afisa elimu na Mkurugenzi wako na uambatanishe hizo nyaraka zako za hospitali.Then ujibiwe kwamba nafasi ipo kwahiyo wanatuma kibali kwamba umekubaliwa kuhamia Halmashauri husika. Afisa utumishi anandika barua ambayo zile documents zinakuwa attached inapelekwa mkoani.Then watu wa mkoani ndo wanaipeleka Tamisemi.Na kwakuwa hiyo barua unapewa mwenyewe kupeleka mkoani unaitoa photocopy na hizo nyaraka zote zinazotakiwa unabaki nazo.Hizo sasa ndo unapeleka mwenyewe Tamisemi bila kujali kama zile za mkoani zilipelekwa au hapana.
Kama hukufuata hizo taratibu maana yake wewe huyo aliyekupa uhamisho ni mhuni tu na utakuwa umapigwa pesa nyingi.
 
Pole ila inaonekana umekutana na vishoka,njia za mkato siku zote zina gharama sana.

Kuna walimu huku ninakofanyia kazi,alifnya kama uliyoyafanya wewe ni wa kike alhama kwa malipo ya M1 ,wakati anahama hakutaka hata kuiaga staff,katoka kwa mbwembwe akijiona ni mtu wa madili ,kaenda halmashauri alikopangiwa na kufanya kazi kwa almost mwaka mmoja kumbe huku halmshaur alikotoka wanafuatilia uharali wa uhamisho wake,bwana wewe ,afsa utumishi akabaini kuwa aligushi na kipindi chote hicho taarifa za mshahara wake zilikuwa hazijahamishiwa halmashauri alikokuwa,walichomwambia ni kuwa chagua moja kurudi au tufunge mshahara, mwisho wa siku alirudi uso mdogo na hakutaka kurudi kituo chake cha zamani,kwa busara za afsa utumishi alimbadilishia kituo, hata wewe naamin hukufuata utaratibu ila umekuja humu kutafuta huruma za wadau

Fuateni taratibu,hata kama unatoa hiyo rushwa ya M1 ila umefuata utaratibu.
Acha kushupaza shingo ,naamini huyo afisa naye ni binadamu sidhani ukimfuata kiubinadamu ataendelea kupambana na wewe, ila hapa inaonesha wote mko 0:0 hapa ndo penye shida
 
Kumbe watu huwa wanarudishwa kweli?
 
Pole sana mwalimu, walimu wamekuwa wakipitia changamoto hizi yote hii ni kukubali kuwa mwalimu

Nakushauri chukua mikopo benki 5 tofauti kusanya million 40 halafu tokomea kwenye biashara.

Utakuja kunishukuru

ACHANA NA UALIMU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom