Nineth Circle Satanic Cult

Nineth Circle Satanic Cult

Hapa naona The Late Mwalimu hana mtoto. Yani wewe na utu uzima wako na usomi wako, unaamini hizi smear operations hadi leo? Freemasonry , sijui vitu gani. Ambavyo havina ata evidence na hakuna credible source ata moja. What a dissapointment. Lini Pope Francis kasema anataka kujiuzulu? catholic na freemason wapi na wapi? Soma sana.

waroma bana, sijui mmerogwa na nani? these things are inseparable, wakeup guys you are not free!
 
Kuna watu wameshikika pabaya na hii post. Unfortunately hawana pa kutokea !!! I believe utafute ukweli, ujue ukweli na Ukweli utakuweka huru
 
wengine hatujaiona hebu weka picha yake hapa kama we sio mwingo na kuaminishwa uongo
sina nia ya kukwaza imani ya mtu, ila hii itakusaidia.
 
Attachments

  • FILII.jpg
    FILII.jpg
    7.7 KB · Views: 186
  • FILI2.jpg
    FILI2.jpg
    11.5 KB · Views: 518
waroma bana, sijui mmerogwa na nani? these things are inseparable, wakeup guys you are not free!

How inseparable ? you wake up!! false accusations have always been leveled against the church since its early days. We are not strangers to persecution. We have more than 2000 years worth of experience. What news can you bring? We are the only archenemies of freemasonry. Professed. The truth only lies within the catholic faith. THe universal way. No salvation outside the church. we ndio umelogwa yani mijitu mingine mizima lakini reasoning na logic ni very low. hizi baseless accusations kuna siku mtakiri na mtajua ukristu ni upi. Protesting until when? hamchoki tu???
 
sina nia ya kukwaza imani ya mtu, ila hii itakusaidia.

Hivi huu uongo mnamfanyia nani? oh shetani baba yenu. HAKUNA TITLE HATA MOJA HAPO YA PAPA. VICARIUS FILII DEI HAIPO...title ya kweli ni VICAR CHRISTI. sawa?
Twende kwa muasisi wa hizi tuhuma ELLEN GOULD WHITE. Na sisi tupige hesabu uone zinakaaje.

E = 0 G = 0 W= 10
L = 50 O = 0 H = 0
L = 50 U = 5 I = 1
E = 0 L = 50 T = 0
N = 0 D = 500 E = 0

100 + 555 + 11 = 666

Ellen=100, Gould=555, White=11.
Sema na hapo sasa. Kumbe Ellen G white ndiyo antichrist lol..
 
W =10 na U=5 hivi ww kwa akili yako w=10 tangu lini na u=5 kwa mm navyoelewa 5=V na 10=X sasa ww naakuona sijui hauna akili ebu rudi shule usidanganye watu
NB: siongelei dini hapa nasema ukweli
 
Hapo nadhani utaelewa
 
Attachments

  • 1435050684487.jpg
    1435050684487.jpg
    42.4 KB · Views: 347
W =10 na U=5 hivi ww kwa akili yako w=10 tangu lini na u=5 kwa mm navyoelewa 5=V na 10=X sasa ww naakuona sijui hauna akili ebu rudi shule usidanganye watu
NB: siongelei dini hapa nasema ukweli

Usio na akili wewe hapo mjinga kabisa wa mwisho unadakia usivovijua. W ni sawa na v mbili haya piga hesabu dumb ass. Alafu nimetumia standard hizo hizo wanazocalculate hao walio toa hiyo accusation...Maana wameforce ata letters zingine hazipo kilatini. Haya wewe mwenye akili hizo title za pope umezionea wapi?
eti latin speaking man?? head of clergy?? that can be anybody..Hivi kuna sehemu za ubongo mmezibwa eeh? alafu mna pride hamtaki kujifunza kazi kudakia na kudandia tu kwenye accusations.
 
NA wasiwasi na elimu yako W ikawa 10 what a funny ulifundishwa wapi nami nikajifunze sasa na X itakua ngapi vile ebu nijibu swali langu nyongeza na inamaana U=V=5 Kweli aisehh naona kuna mambumbumbu kwa taarifa yako ka hujui naomba angalia hii chart hapa chini ujifunze
 
we failure wewe, ushaambiwa kama w ni sawasawa a v mbili usichoelewa nini? au unataka ligi tu.
 
sijui unauliza nini. Are you doubting the veracity of my report. Sitaki kuandika maneno mengi,if the queen is annoyed,she will pick up the telephone and i will end up in prison lakini those people are diabolic and they are everywhere. Soma britanicca encyclopedia utaona,in north america and western europe hakuna anapata cheo ambaye siyo freemason. Halafu,please notice pope francis hajafukuzwa kazi ingawa zipo hizo tuhuma dhidi yake,kwa sababu hayo ni mambo ya kawaida vatican. Kama vile hapa tanzania hakuna mtu anafukuzwa kazi kwa tuhuma za ufisadi. Haya mambo niliyasoma katika book review aliyokuwa nafanya commander hatonn. Ama sivyo mimi nisingeamini.
kuna mambo ya kweli ukiandika watu wataona unatania, hasa ya hizi jamii za siri duniani, watu wamezoea google tuuuuu basi,sio kila jambo liko wikipedia...
 
Faiza Foxy nashukuru umeifanyia utafiti hii. Nadhani wale watu sasa we should bring them down.
 
Hivi huu uongo mnamfanyia nani? oh shetani baba yenu. HAKUNA TITLE HATA MOJA HAPO YA PAPA. VICARIUS FILII DEI HAIPO...title ya kweli ni VICAR CHRISTI. sawa?
Twende kwa muasisi wa hizi tuhuma ELLEN GOULD WHITE. Na sisi tupige hesabu uone zinakaaje.

E = 0 G = 0 W= 10
L = 50 O = 0 H = 0
L = 50 U = 5 I = 1
E = 0 L = 50 T = 0
N = 0 D = 500 E = 0

100 + 555 + 11 = 666

Ellen=100, Gould=555, White=11.
Sema na hapo sasa. Kumbe Ellen G white ndiyo antichrist lol..

Eiyer umepita pande hizi...?!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer umepita pande hizi...?!

Nilishawahi kumwambia Ntuzu kuwa hata jina la "nabii" wao Ellen Gould White lina add up 666,je hiyo itamfanya kuwa Mpinga Kristo?

Swali hili linahitaji tafakari ambayo nachelea kusema hatakubali kuwa nayo....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom